MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,057
- 1,371
NATO ipo katika maandilizi ya Mwisho ya Kuipiga Syria. Upelekwaji wa PATRIOT MISSILES katika Nchi ya Uturuki, ni moja ya maandalizi ya kumaliza kazi Syria. Kwani katika hali ya kawaida, huwezi ku move heavy military equipment za kijeshi bila kusababisha maswali ya juu ya nini? Sas ili kuondoa maswali mengi kwani wewe ni polisi, NATO na Syria wameamua kupeleka vifaa hivyo mpakani mwa Uturuki na Syria ni Dalili tosha kua mambo yameiva, kama walivyo fanya Iraq No fly zone, then full flaged war.
On the ground wapigania Uhuru nao wameendelea kupiga makombora kishenzi.
Syria ipigwe! ipigwe! Syria ipigwe! Ipigwe! Nimekumbuka maneno ya wanajeshi na Raia wa Tanzania walipokua wakienda vitani Uganda, walikua wakiimba hivyo. AAMIN APIGWE! APIGWE! AAMINI APIGWE! APIGWE! Na karibuni hivi mtasikia BANDA APIGWE! APIGWE! BANDA APIGWE! APIGWE!