Emu kama wapenzi wa kandanda nani mtangazaji mzuri wa mpira wa miguu tanzania kwa sasa.

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,317
2,019
Mimi shabiki kindakindaki wa timu ya young african uku nikiwapenda vibaya sana majogoo wa anflied liverpool naomba leo utaje mtangazaji wa mpira wa miguu anayekuvutia kwa saa tanzania hii.
1.Ramadhan Ngoda
2.Hashimu Ibwe
3. Barack Adson Mpenja
4. Nurdin Suleiman
5. Paschal Kabombe
 
Ezekieli Malongo mpaka leo hajatokea wakumfikia hata nusu labda Baraka Mpenja, kidogo. Malongo alikuwa habari nyingine usiombe akutangazie mpira wa Simba enzi hizo akina Joseph Kaniki Golota Kumbakumba, Emanueli Grabriel Grabrieli Mwakyusa, Nteze John Lungu, Yusuph Macho Muso, au akutangizie mpira wa Arsenal ya Akina Robet Pires, Fredrick Lumberg au Man U yakina Rudy Van Nestroy, David Beckham, Ole Gurnna Solksier. Vijana wa miaka ya tisini na mwanzoni mwa 2000 tulienjoy sana na RTD.
 
Nilikuwa mdogo enzi hizo,jamaa alikuwa hatari sana Ezekiel malongo na huyu swedi mwinyi nakumbuka world cup 2002 Korea&Japan.
 
Upande wa TV Baraka Mpenja, kwenye redio Bin Swedi Mwinyi
 
Mimi shabiki kindakindaki wa timu ya young african uku nikiwapenda vibaya sana majogoo wa anflied liverpool naomba leo utaje mtangazaji wa mpira wa miguu anayekuvutia kwa saa tanzania hii.
1.Ramadhan Ngoda
2.Hashimu Ibwe
3. Barack Adson Mpenja
4. Nurdin Suleiman
5. Paschal Kabombe
Idd Salum Kidedea "Ulamaa"
 
Vipi babaa Nurati Mfuga Njiwa na ofisho domino kinwaiya hamjawaona? Au wanapiga kelele!
Tena huyo mwanamke huwa anapayuka hovyo bila kupangilia maneno, colorless voice.
Sijui huwa wanaangaliaga criterias zipi kumpa mtu karatasi these days
 
Tena huyo mwanamke huwa anapayuka hovyo bila kupangilia maneno, colorless voice.
Sijui huwa wanaangaliaga criterias zipi kumpa mtu karatasi these days
Hata mimi yule dada kusema kweli naonaga kama anapwayuka tu.
 
Back
Top Bottom