Empower jobs Tz

RALO

Member
Jan 31, 2012
46
13
Vipi wadau hivi hawa jamaa wa empowerjobstz.com kuna anayewajua vizuri kwenye ufanisi wao wa kurecruit watu,yaani hawana magumashi yoyote?
 
Kawachangie ka elf 10 ka usajili.....then urud kitaa tuendelee na kazi ya kutafuta kazi
 
Mkuu hawana tatizo lolote, mradi upo competent na utajibu interview vizur , anzia writting watakazokupa na kama wakuona unafaa wataku recommend kwa mwajiri moja kwa moja kwa interview ya pili..wapo very professional, tena wakiona upo vizuri zaidi hata hiyo buku ten hulipi...kila la kheri mkuu, Mungu akujalie haja ya moyo wako.
 
Back
Top Bottom