EMPLOYMENT OPPORTUNITY N.H.CLINIC

A

Akili 2

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2018
Messages
298
Points
250
A

Akili 2

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2018
298 250
UOTE="Drellaboul, post: 33080666, member: 569861"]
Pole mkuu
[/QUOTE

Wewe ni mjinga sana na unafanya utapeli wa kizamani sana
 
A

Akili 2

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2018
Messages
298
Points
250
A

Akili 2

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2018
298 250
Taasisi ya afya N.H.CLINIC yenye vituo vyake MWANZA, TANGA, MBEYA,MOSHI, MOROGORO ,KENYA NA UGANDA inawatangazia nafasi za kazi kwa vijana watanzania.

NAFASI ZILIZOPO

- MANAGER(15).
- STOREKEEPER(10).
- WAHASIBU(15).
- SECRETARY(15).
- CLEANER(25).

SIFA ZA MUOMBAJI

- UMRI KUANZIA MIAKA18-30.
- AWE TAYARI KUFANYA KAZI NDAN NA
NJE YA NCHI.
- AWE AMEHITIM KIDATOCHA IV &VI
UFAULU KUANZIA "D" MBILI KATIKA
MASOMO YAKE YA SAYANSI NA
KUENDELEA.
- NAFASI CHACHE KWA WALOCHUKUA
MASOMO YA SANAA(ARTS) KUANZIA
KIDATO CHA IV NA KUENDELEA NA
WATAPATA MAFUNZO MAALUM YA
KITABIBU.
- MUOMBAJI AJE NA BARUA YA MAOMBI
YA KAZI, BARUA YA UTAMBULISHO
KUTOKA NGAZI YOYOTE YA SEREKALI YA
MTAA/KIJIJI, CV , PASSPORT SIZE ZAKE
MBILI ZIKIWA PLANE NA BARUA MBILI ZA
WADHAMIN.

N.H.CLINIC inatoa nafasi ya kuish(Bweni) kwa wale wanaotoka mbali ktk kipnd Cha usaili na mafunzo.
NB: Usaili utaanza tarehe
15th Oct - 31rd Dec 2019.
Gharama za Usaili(Fom) Na Mafunzo kabla ya kuanza kazi jumla Ni 75,000. Hostel, Matumiz ya maji, Umeme na chakula Cha usiku Ni Bure.

USAJILI UTAFANYIKIA
MOSHI-KILMANJARO.

KWA MAWASILIANO KITENGO CHA AJIRA
±255717761907.View attachment 1227518View attachment 1227583
Hahaha raha sana gusa unate
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
11,470
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
11,470 2,000
Hapaa kuna kichapo kikalii sana ukijimix
 
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Messages
2,752
Points
2,000
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2013
2,752 2,000
Taasisi ya afya N.H.CLINIC yenye vituo vyake MWANZA, TANGA, MBEYA,MOSHI, MOROGORO ,KENYA NA UGANDA inawatangazia nafasi za kazi kwa vijana watanzania.

NAFASI ZILIZOPO

- MANAGER(15).
- STOREKEEPER(10).
- WAHASIBU(15).
- SECRETARY(15).
- CLEANER(25).

SIFA ZA MUOMBAJI

- UMRI KUANZIA MIAKA18-30.
- AWE TAYARI KUFANYA KAZI NDAN NA
NJE YA NCHI.
- AWE AMEHITIM KIDATOCHA IV &VI
UFAULU KUANZIA "D" MBILI KATIKA
MASOMO YAKE YA SAYANSI NA
KUENDELEA.
- NAFASI CHACHE KWA WALOCHUKUA
MASOMO YA SANAA(ARTS) KUANZIA
KIDATO CHA IV NA KUENDELEA NA
WATAPATA MAFUNZO MAALUM YA
KITABIBU.
- MUOMBAJI AJE NA BARUA YA MAOMBI
YA KAZI, BARUA YA UTAMBULISHO
KUTOKA NGAZI YOYOTE YA SEREKALI YA
MTAA/KIJIJI, CV , PASSPORT SIZE ZAKE
MBILI ZIKIWA PLANE NA BARUA MBILI ZA
WADHAMIN.

N.H.CLINIC inatoa nafasi ya kuish(Bweni) kwa wale wanaotoka mbali ktk kipnd Cha usaili na mafunzo.
NB: Usaili utaanza tarehe
15th Oct - 31rd Dec 2019.
Gharama za Usaili(Fom) Na Mafunzo kabla ya kuanza kazi jumla Ni 75,000. Hostel, Matumiz ya maji, Umeme na chakula Cha usiku Ni Bure.

USAJILI UTAFANYIKIA
MOSHI-KILMANJARO.

KWA MAWASILIANO KITENGO CHA AJIRA
±255717761907.View attachment 1227518View attachment 1227583
NADHANI HII HAINA TOFAUTI NA MIRADI MINGINE YA UFYONDHAJI KAMA VILE
FOREVA LIVING, AIM GLOBAL NA Q. NET.

UPIGAJI!! UPIGAJI!!! UPIGAJI!!!
 

Forum statistics

Threads 1,343,109
Members 514,937
Posts 32,774,067
Top