Emperor new clothes | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Emperor new clothes

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwalimu, Jan 4, 2011.

 1. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,451
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Nimeikumbuka hadithi hii niliyosoma utotoni na somehow najikuta namfananisha huyu mfalme na mkulu wetu...

  Ni mawazo yangu tu...
   

  Attached Files:

 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,758
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  "The Teacher" bana!
   
 3. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,451
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Ah...ni mawazo yangu tu mkuu!
   
 4. M

  MILKYWAY GALAXY Senior Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 12, 2008
  Messages: 199
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Heshima mbele mkuu,

  Umenikumbusha mbali saana na nimecheks saaana!!:A S crown-1::teeth::teeth:
  Sasa mwalimu,
  Maadam emperor tushamfahamu,

  Akina nani au nini ndio nguo isionekana na wale wezi stadi ?
   
 5. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,451
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Mkuu Galaxy mimi ninajiuliza kama je ni sisi tunaompigia kelele mfalme kuwa mambo hayako sawa ndio hatuna busara au ni wenzetu kina MS na wengineo wanaomsifu kuwa yuko bomba??
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,780
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  save kwenye compatibility mode (.doc) na sisi wenye Office 97 tuifungue
   
 7. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,451
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Nadhani hapo itakuwa poa mkuu...
   

  Attached Files:

 8. c

  chach Senior Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 147
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  that is exactlly what is happening in Tanzania kuhusu mambo mengi ,katiba mpya wapambe wanasema iliyopo bomba mbele ya mkuu,lakini moyoni wanajua haifai,DOWANS same issue bomba ila moyoni haiko hivyo.Nafikiri tunahitaji mtoto aje aseme ukweli kwani wengi wetu (viongozi)tunaogopa kusema ukweli kwa tutaonekana wajinga katika system tuliyomo.
   
Loading...