Emoji ambayo siipendi

Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
4,436
4,646


Siipendi hii emoj kuitumia na inaniudhi sana mtu akiitumia kwangu.

Kwa anayejali hisia zangu please, asiweke hii emoj kwenye post yangu.

Mimi binafsi sitaiweka kwa post ya mtu yeuyote. Amen.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom