Emmanuel, ZNZ Hakuna Gaidi

Whisper

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
502
207
Heh! waziri wa mambo ya ndani amelitangazia taifa kuwa Zanzibar kuna magaidi na kwamba wanafanya mpango wa kupata msaada wa kiitelijensia toka nchi zilizoendelea kuwapata magaidi hao waliomuua mtumishi wa Bwana Padre Mushi (RIP) leo asubuhi.

Hii tabia ya mawaziri wa JK ya kukurupuka inalitia aibu taifa. Ni afadhali kama angekaa kimya. Ni vizuri angetambua kuwa haongei na wazee wa Dar es salaam, wale wanaopewa nguo za kijani bure..

Emmanuel, huhitaji hata askari wa cheo cha Inspector wa Tanzania kuwakamata waliomuua padre. Wafadhili wa wauaji mnawafahamu vizuri sana. Hamkutaka tu kusghukikia swala hili kuanzia mwaka jana alipopigwa risasi padre wa kwanza. Wauaji wanweza kukamatwa na hata polisi jamii bwana Nchimbi. Wanafahamika sana. Sasa kajipange upya uje na filamu nyingine.

Hatuhitaji wauaji, hao ni vijana tu waliokosa ajira katika serikali hii ya kikwete, na sasa wanatumika vibaya. Ungetueleza nani alikamatwa tukio la kwanza, nani anafadhili udhalimu huo na hatua gani kama serikali mlichukua baada ya hapo kukomesha tabia hiyo.

Wimbo wako hauuziki.
 
Mimi ninaamini kuwa ni msukumo kutoka jamii fulani ya watu uliompelekea mh.waziri kuyatamka hayo ukilinganisha na michango ya wanajf humu janvini.
Na hakuna gaidi aliyetangazwa hapo isipokuwa ni jamii ya kiislamu. Anadhani kuwa atatibu ugonjwa kumbe atazidisha ni angalizo tu!!
 
Wacha kusingizia vijana waliokosa ajira bana.... Kwani tatizo la kukosa ajira limeanza leo?? Vipi kwa nchi nyingine huwa wakikosa ajira wanaanzisha migogoro ya kuchinja na kuwaua makasisi?? Think out of the box dude....
 
Alisema Doct. Slaa bila kumumunya maneno.'Kikwete ni janga la Taifa' Leo twajionea kweupeee....
 
yule wa geita hakuna magaidi hakuhitaji wapelelezi kutoka nje au kwa kuwa hili limetokea z'bar nahisi tukio lolote linapotokea z'bar huwa kubwa wakati tanganyika ni mara kwa mara matokeo kama hayo ya kupigwa watu risasi hutokea mbona hujatangaza kama kuna magaidi wewe waziri huna nia njema na z'bar kuitangazia dunia kuna magaidi, tizameni mlipojikwaa sio mlipoanguka.
 
Wa kwanza alipo jeruhiwa Nchimbi uliendelea kuchapa usingizi, sasa huyu ameuwawa Nchimbi unakurupuka. Kama ungeshughulikia la kwanza kwa ustadi leo hii mjbu yangekuwa mepesi kwako.
 
Heh! waziri wa mambo ya ndani amelitangazia taifa kuwa Zanzibar kuna magaidi na kwamba wanafanya mpango wa kupata msaada wa kiitelijensia toka nchi zilizoendelea kuwapata magaidi hao waliomuua mtumishi wa Bwana Padre Mushi (RIP) leo asubuhi.

Hii tabia ya mawaziri wa JK ya kukurupuka inalitia aibu taifa. Ni afadhali kama angekaa kimya. Ni vizuri angetambua kuwa haongei na wazee wa Dar es salaam, wale wanaopewa nguo za kijani bure..

Emmanuel, huhitaji hata askari wa cheo cha Inspector wa Tanzania kuwakamata waliomuua padre. Wafadhili wa wauaji mnawafahamu vizuri sana. Hamkutaka tu kusghukikia swala hili kuanzia mwaka jana alipopigwa risasi padre wa kwanza. Wauaji wanweza kukamatwa na hata polisi jamii bwana Nchimbi. Wanafahamika sana. Sasa kajipange upya uje na filamu nyingine.

Hatuhitaji wauaji, hao ni vijana tu waliokosa ajira katika serikali hii ya kikwete, na sasa wanatumika vibaya. Ungetueleza nani alikamatwa tukio la kwanza, nani anafadhili udhalimu huo na hatua gani kama serikali mlichukua baada ya hapo kukomesha tabia hiyo.

Wimbo wako hauuziki.

Natamani sana nifanye kazi za KIUPELELEZI tatizo ni ukiritimba wa nchi hii sitafanikiwa kwa kweli, wamependeleana wenyewe kwa wenyewe sisi tumeachwa eti hatujakidhi vigezo..

Kwa tafsiri rahis kutokana na tamko alilolitoa "black emmanuelle", magaidi ni waislamu!!
 
Heh! waziri wa mambo ya ndani amelitangazia taifa kuwa Zanzibar kuna magaidi na kwamba wanafanya mpango wa kupata msaada wa kiitelijensia toka nchi zilizoendelea kuwapata magaidi hao waliomuua mtumishi wa Bwana Padre Mushi (RIP) leo asubuhi.

Hii tabia ya mawaziri wa JK ya kukurupuka inalitia aibu taifa. Ni afadhali kama angekaa kimya. Ni vizuri angetambua kuwa haongei na wazee wa Dar es salaam, wale wanaopewa nguo za kijani bure..

Emmanuel, huhitaji hata askari wa cheo cha Inspector wa Tanzania kuwakamata waliomuua padre. Wafadhili wa wauaji mnawafahamu vizuri sana. Hamkutaka tu kusghukikia swala hili kuanzia mwaka jana alipopigwa risasi padre wa kwanza. Wauaji wanweza kukamatwa na hata polisi jamii bwana Nchimbi. Wanafahamika sana. Sasa kajipange upya uje na filamu nyingine.

Hatuhitaji wauaji, hao ni vijana tu waliokosa ajira katika serikali hii ya kikwete, na sasa wanatumika vibaya. Ungetueleza nani alikamatwa tukio la kwanza, nani anafadhili udhalimu huo na hatua gani kama serikali mlichukua baada ya hapo kukomesha tabia hiyo.

Wimbo wako hauuziki.

Padre Mushi R.I.P. Umekufa wakati wa kwaresima. Wakatoliki wote tuliosikia msiba huu tunaendelea kuiombea roho yako. Hakika Yesu amekupokea na ukijumuika na watakatifu tunasali kwa Mt Mikaeli Malaika Mkuu, alisimamie kanisa shetani asituyumbishe.
 
Heh! waziri wa mambo ya ndani amelitangazia taifa kuwa Zanzibar kuna magaidi na kwamba wanafanya mpango wa kupata msaada wa kiitelijensia toka nchi zilizoendelea kuwapata magaidi hao waliomuua mtumishi wa Bwana Padre Mushi (RIP) leo asubuhi.

Hii tabia ya mawaziri wa JK ya kukurupuka inalitia aibu taifa. Ni afadhali kama angekaa kimya. Ni vizuri angetambua kuwa haongei na wazee wa Dar es salaam, wale wanaopewa nguo za kijani bure..

Emmanuel, huhitaji hata askari wa cheo cha Inspector wa Tanzania kuwakamata waliomuua padre. Wafadhili wa wauaji mnawafahamu vizuri sana. Hamkutaka tu kusghukikia swala hili kuanzia mwaka jana alipopigwa risasi padre wa kwanza. Wauaji wanweza kukamatwa na hata polisi jamii bwana Nchimbi. Wanafahamika sana. Sasa kajipange upya uje na filamu nyingine.

Hatuhitaji wauaji, hao ni vijana tu waliokosa ajira katika serikali hii ya kikwete, na sasa wanatumika vibaya. Ungetueleza nani alikamatwa tukio la kwanza, nani anafadhili udhalimu huo na hatua gani kama serikali mlichukua baada ya hapo kukomesha tabia hiyo.

Wimbo wako hauuziki.

Unataka kanisa lilipuliwe likiwa na waumini ndani ndiyo ujue zanzibar kuna UGAIDI, au ni nini kinakufanya uhitimishe na uone Emmanuel amekurupuka wakati yeye ndiye waziri mwenye dhamana ya usalama ndani ya nchi yeye anazo taarifa za intelligensia kama zipo !? lakini pia yeye anaweza kuwa na taarifa sahihi zilizofanyiwa uchunguzi kuliko wewe hapa JF,kama nawe unazo taarifa mbadala ungezimwaga hapa pasipo kumpuuza waziri na taarifa ambayo mimi naamini ni ya kiutafiti.
Kama walichelea kuchukua hatua wakiamini hakuna tatizo kama wewe unavyoamini,lakini roho ya mtu imepotea wataka bado waendelee kuamini kuwa zanzibar ni shwari kwa kila mtu ?
 
Kuna dini huwa nakizitafakari nachokaaaaaaaaa! MUNGU wangu mwema kunifanya nizaliwe mkristu, nitakufa mkristu najivunia hilo! Jamani hakuna pepo ukiua mtu, kuua ni dhambi, hata mtoto aliyezaliwa leo analitambua hilo, acheni ushetani, tuishi kwa upendo!
 
mimi npio z'bar, kweli tunahitaji maombi yenu huku ni pagumu, tunaishi kwa shida na kwamanyanyaso sana watu wa bara hasa wakriso..
sERIKALI BADO INATUELEZA Z'BAR Z A GOOD PLACE TO LIVE?..binafsi kwakweli huwa nafikiri hata sipati jibu wat kind of god huyu wanaemuabudu.Wanaamini ni mungu aliye umba watu na vyote halafu wana muulia watu wake! badala wawaombee, mmmmmmh.mungu wao huyo wae muamin amishindwa kuwauwa hao makafri, this god hop has proven faire.....MUNGU WETU NI MWEMWA KUPITIA KWA MWANA WAKE YESU KRISTO, HATULIPIZI KWA MABAYA TUNAYO FANYIWA BUT INAUMA KUUWAWA BILA KOSA, KUNYANYASWA BILA KOSA INGAWA TUNAAMINI NI UTIMILIFU WA MAANDIKO, WAKRISTO WANAHUSIKA VIP NA MUUNGANO IF NOT WANATAFUTA SABABU TU..
TUKUMBUKE SIE SOTE NI BINADAMU, NO ONE WIL RAST FOREVER, SOTE TUTAKUFA..... ALIYE KUPA UHALALI WA KUTOA ROAHO YA MWEZIO NI NANI? TUSIFANYIANE UBAYA.NAMPENDA SANA YESU KOZI ALINIKATAZA KUUWA LKN NIWAPENDE WATU WOTE KAMA NINAVYO JIPENDA MIMI
 
:biggrin:----LIKE---:biggrin:
 
Ww kafiri amini kua wewe kafiri tu
 
Heh! waziri wa mambo ya ndani amelitangazia taifa kuwa Zanzibar kuna magaidi na kwamba wanafanya mpango wa kupata msaada wa kiitelijensia toka nchi zilizoendelea kuwapata magaidi hao waliomuua mtumishi wa Bwana Padre Mushi (RIP) leo asubuhi.

Hii tabia ya mawaziri wa JK ya kukurupuka inalitia aibu taifa. Ni afadhali kama angekaa kimya. Ni vizuri angetambua kuwa haongei na wazee wa Dar es salaam, wale wanaopewa nguo za kijani bure..

Emmanuel, huhitaji hata askari wa cheo cha Inspector wa Tanzania kuwakamata waliomuua padre. Wafadhili wa wauaji mnawafahamu vizuri sana. Hamkutaka tu kusghukikia swala hili kuanzia mwaka jana alipopigwa risasi padre wa kwanza. Wauaji wanweza kukamatwa na hata polisi jamii bwana Nchimbi. Wanafahamika sana. Sasa kajipange upya uje na filamu nyingine.

Hatuhitaji wauaji, hao ni vijana tu waliokosa ajira katika serikali hii ya kikwete, na sasa wanatumika vibaya. Ungetueleza nani alikamatwa tukio la kwanza, nani anafadhili udhalimu huo na hatua gani kama serikali mlichukua baada ya hapo kukomesha tabia hiyo.

Wimbo wako hauuziki.
Hao vijana wanaotumiwa kufanya hayo mauaji,kwa sababu ambazo wanazozijua wenyewe,hicho kitendo chao ndiyo kinaitwa ugaidi!
 
Kwanini aanze kuomba msaada kwani wamejaribu wameshindwa??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
I love JESUS CHRIST because He is the King of Peace and love. Without Jesus the life on earth could be very very terrible.
 
Back
Top Bottom