Emmanuel Nchimbi amewadanganya wana Songea,kuhusu tatizo la umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Emmanuel Nchimbi amewadanganya wana Songea,kuhusu tatizo la umeme

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ngalikivembu, Feb 20, 2011.

 1. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Tarehe 10.10.2010 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ndugu Emmanuel Nchimbi ambaye wakati huo alikuwa anagombea ubunge jimbo la Songea mjini aliwaahidi wananchi wa manispaa ya songea kuwa tattizo la umeme songea litakuwa limekwisha kabisa ifikapo Decemba 2010.Hili ni tamko alilolitoa mbele ya bosi wake Jk wakat wakiomba kura kwa wananchi.Kinyume na matarajio ya wengi tatizo la umeme limeendelea kuwa sugu na halina utatuzi tena.Umeme sasa ni wa mashaka na muda wote ni kukatika katika tu tena bila taarifa yoyote.Sijawahi kuon atangazo lolote linalohusu katizo la umeme katika manispaa ya songea.
  Ahadi ambayo wengi waliokuwa wamevalia mavazi ya kijani walionekana kushangilia sana.Lakini Emmmanuel Nchimbi hayupo tena songea na wala hajui tatizo hili.Ujinga wa wananchi wengi ulikuwa ni kula pilau zake na kubeba kanga na skafu za ccm.Hakuna mbunge anayetumia pesa zake kuhonga wananchi kama huyu mteule wa kikwete.Ghiliba nyingi anazitumia kupata madaraka.
   
 2. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sio peke yake karibu wote wa CCM,na hii ni kawada yao hata PM anadanganya sembuse yeye sentesi niliyoweka red hasa ndio neno.Tubadilike watanzania tunajiangamiza wenyewe kwa kuwapa watu madaraka ambao ni waongo.
   
Loading...