Emmanuel Nchimbi amestaafu lini Ubalozi? Kaapishwa Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa balozi Brazil

Wewe ni mpumbavu kabisa! Kwa taarifa yako Dr Nchimbi ndio next president wako tuone utamfanya nini! Yaani umeshiba kiporo cha maharage ya jana unaanza kutishia nyau humu jukwaani. Unafikiri kwanini Magufuli alimpeleka mbali ili kuondoa influence yake nchini?
Acha dharau kwa kiporo cha maharage? Kwani huwezi kuchangia pasi na kuyasema vby Maharage?
 
Wewe ni mpumbavu kabisa! Kwa taarifa yako Dr Nchimbi ndio next president wako tuone utamfanya nini! Yaani umeshiba kiporo cha maharage ya jana unaanza kutishia nyau humu jukwaani. Unafikiri kwanini Magufuli alimpeleka mbali ili kuondoa influence yake nchini?
WEwe huna akili kabisa....inaonekana ni mchepuko wa Nchimbi. Yaani Nchimbi huyu hopeless ndo awe Rais....okey labda Rais wa Familia yako
 
Wa China anajitahidi kuleta wanunuzi wa mazao
Balozi ndio analeta wanunuzi? Wanunuzi dunia nzima hutafuta sehemu yenye product nzuri na kwa gharama nafuu.
Congo haina balozi nchi nyingi tu Ila wanunuzi wa madini yao kutoka kila nchi wapo pale.
Hata sisi kwenda kununua China nguo sio kwamba balozi wao katuambia twende bali ndio kwenye unafuu tunapoona.
 
Wengi tu......

Hebu mfuatilie mpambanaji mzalendo mh.Mbelwa Kairuki wa huko China......
China na Tz kuna muingiliano wa kihistoria na kibiashara! Sasa
WEwe huna akili kabisa....inaonekana ni mchepuko wa Nchimbi. Yaani Nchimbi huyu hopeless ndo awe Rais....okey labda Rais wa Familia yako
Kuna mtu kwenye familia au ukoo wako amewahi kufikia nafasi alizoshika Dr.Nchimbi? Au ndio ile hulka ya Watz kuwachukia watu wenye mafanikio na kuwaita wezi, freemasons n.k? Mtu aliyekuwa kwenye kamati kuu ya CCM unamuita hopeless! Una akili au umebeba embe bolibo kichwani?
 
Nawe una ushahidi kuwa hakula? πŸ™„
The burden of proof lies on the accuser or plaintif and not vice versa! Vp jasusi mbobezi mbona unaanza kuwa na mhemko au unamuogopa na kumhofia Dr. Nchimbi? Huenda kwenye ufalme wake akakupa nafasi ya kurudi nyumbani utoke utumwani
 
Vyeo visivyo na impact kwa Tanzania ni ahsante kwa makada wa CCM wakapumzike majuu
 
Kwani Nchimbi alipelekwa Brazil kufanya kazi au kufichwa asisumbue Wakubwa?
Mkuu mimi ni mfuasi mkubwa wa post zako, unataka kusema jamaa ni mzizi ndani ya chama hadi wakubwa wamfiche asiwasumbue?
 
Back
Top Bottom