Emmanuel Mbasha: Flora Mbasha aliondoka akiwa na mimba, siwezi kumsema baba wa mtoto...

Kwahiyo Huyo mtoto mwingine Emma ndio anasema ni wake na sio wa kusekwa coz alindoka na mimba?
Yaniii, ,Emmanuel na flora walikua na mtoto mmoja ,Wakati wa lile limbwili Lao flora alikua mjamzito hata kabla ya talaka na wako bado ndani ya ndoa. Ila mpaka wanaachana,flora alikaa kdg akajifungua ila akasema mtoto sio wa Emma .

Baadaye ndo akaoana na kusekwa na sasa ana new baby ( manake ni wa tatukwa flora)
 
Sawa nishamkumbuka wakasema mtoto kafanana na GWAJIMA.
 
Najua pengine nitakuwa nje ya mada lakini kusema ukweli sijawahi kumuelewa huyu jamaa... ni mchungaji, mtumishi, mwanamziki, maana huwa yupo uvuguuvugu tu...

Yaki dunia yupo, ya wokovu yupo haeleweki.. halafu show off nyingi sana zisizonamaana!
Wewe kama Mimi,sema tuna tofautiana kidogo,Mimi hata sijaelewa jamaa ni kama design yakina James.Mana mtoto wakiume akijichuna vile sijui anatafuta nini.
 
Namsikiliza Emma mbasha hapa, anasema flora aliondoka na mimba Wakati wanaachana. Na anasema hawezi kumsema baba wa mtoto watu wanahuduma zao kubwa.

Hapa sijamwelewa. Kwann akubali tu mke kumwambia mtoto si wake vipi kama alionngea kwa hasira? Mana yule mtoto kiukweli kafanana sana na Emma.

NDOA ZINA MAMBO
Amesema aliongea mahakamani na wakili wa Mbasha akamtaka ataje baba wa mtoto akamtaja. Na akasema taingia hapo alikuwa amekwishajua kuwa yule siyo mtoto wake ila alimwambia Flora kuwa yuko tayari waendelee na mtoto yule atamchukua kama mwanae
 
Huyu jamaa vipi..? Si akae kimya endelee na maisha yake...! Umario mbaya sana
Hakuwa na nia ya kuyazungumzia na kusema kweli kajitahidi sana kukwepa maswali ila waliokuwa wanamhoji sasa full kumchimba sana tatizo naye akichimbwa sana anaongea kidogo
 
Emma Mbasha atulize wenge,Flora aliondoka zamani sana kwake zaidi ya miaka miwili hayupo nae,sasa hiyo mimba wakati anaondokoa miaka miwili iliyopita ndio kajifungua mwezi huu?
Huyu Mnyisanzu hovyo kweli!

Aendelee na maisha yake.

Kama Flora aliondoka na mimba basi kuna mawili. Mosi anataka kutuambia kwamba Flora alikuwa anamegwa nje ya ndoa mpaka akapata ujauzito,

Ama yeye Mbasha alimpa ujauzito huo na aliondoka akiwa na mtoto wake tumboni!

Yote kwa yote maisha lazima tasonge mbele. Ya Flira leo hayamhusu kabisa. Afanye yake!

Wanyisanzu nawafahamu kama watu wakali, wenye misimamo ila huyu jirani yangu simuelewi kabisa!
 
Najua pengine nitakuwa nje ya mada lakini kusema ukweli sijawahi kumuelewa huyu jamaa... ni mchungaji, mtumishi, mwanamziki, maana huwa yupo uvuguuvugu tu...

Yaki dunia yupo, ya wokovu yupo haeleweki.. halafu show off nyingi sana zisizonamaana!
kiki za punda mjini
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom