Emmanuel Masonga ni nani, kwanini Serikali ya Tanzania inamuogopa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,609
218,032
Huyu kijana ni Katibu wa Chadema kanda ya Nyasa , Mwenyekiti wake anaitwa Msigwa ambaye ni Mbunge wa Iringa Mjini , aliwahi kufungwa gerezani kwa kifungo cha uonevu cha Maagizo kutoka juu pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi .

Katibu wa CHADEMA kanda ya NYASA Emmanuel Masonga akiwa amefungwa pingu nyumbani ( 640 X 640 ).jpg

Ni mwenyeji wa Njombe Mjini na hivi tunavyoongea anashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe kwa amri ya RPC , bado haijafahamika kwanini anaogopwa kwa kiwango hiki .

FB_IMG_1571383578984.jpg

Je huyu kijana ni nani hasa ?
 
Huyu kijana ni Katibu wa Chadema kanda ya Nyasa , Mwenyekiti wake anaitwa Msigwa ambaye ni Mbunge wa Iringa Mjini , aliwahi kufungwa gerezani kwa kifungo cha uonevu cha Maagizo kutoka juu pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi .

View attachment 1237224

Ni mwenyeji wa Njombe Mjini na hivi tunavyoongea anashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe kwa amri ya RPC , bado haijafahamika kwanini anaogopwa kwa kiwango hiki .

View attachment 1237237

Je huyu kijana ni nani hasa ?
Angeogopwa asingeshikiliwa na polisi ,huyu ni mhuni na mchumia tumbo tu
 
Back
Top Bottom