Emmanuel ktk DSTV inapatikana?

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,002
648
Niko subscribed kwa DStv, iko uwezekano wa kupata channel ya Emmanuel ya TB Joshua? ni katika channel gani?naomba msaada.
 
waeza pata tb joshua hata kwa dish size hiyo unayotumia kwa dstv,tafuta fund atakuwekea bila taabu,siyo lazima dish kubwa
 
Back
Top Bottom