NYALENGO
Member
- Feb 17, 2017
- 76
- 74
Mambo mengine wanaume wa kiafrika tunajitakia wenyewe, umeoa mzungu, unaishi naye ughaibuni na unammilikisha Mali zako zote. Tunasahau kuwa siku migogoro ikitokea sheria itamlinda mwanamke ambaye ni mzawa. Tatizo waafrika kuoa mzungu tunajiona tupo modernised.