jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
Oh! Mnato!Iz papuchii bhaan daah
Sijui bikra!
Mwisho wa siku unalia barabarani pekeyako.
Oh! Mnato!Iz papuchii bhaan daah
Dogo keshapigwa!Nina wasiwasi hiyo nyumba ina jina la huyo mwanamke jambazi.
Dah hatari sana hii kutoka kuwa tajiri mpaka kuwa alivyo sio mchezo halafu kisa mke.. Mungu amsaidie tu.Nina wasiwasi hiyo nyumba ina jina la huyo mwanamke jambazi.
Oh! Mnato!
Sijui bikra!
Mwisho wa siku unalia barabarani pekeyako.
Unajua kusoma kweli au maana imeandikwa eboue aliandikisha mali zote mpaka watoto kasoro pumbu zake kuwa ni za mke wake hakuna kugawana hapoEU wanasheria tofauti kidogo, sheria yapenda kumpendelea mwanamke zaidi, hasa akiwa na watoto, tayari familia wanapakulala, ila nahisi ile nyumba ya pili ni kwa ajili ya malazi kwa watoto, labda sababu jamaa hana kipato.
Hata kama Eboue angekuwa mzungu, sheria zao ziko hivyo..
Nafikiri wanasheria wa mama wanataka watoto na mke waishi yale yale kabla Eboue hajafulia...
Umeninyang'anya tonge mdomoni.Nilitaka kusema vivyo hivyo....Heri ya mwaka mpyakuna somo zuri juu ya hii habari
Hata angeoa mweusi mwenzake sheria ni ile ile nusu kwa nusuNilichojifunza ni kuwa wanawake ni kuishi nao kwa akili.. Pia mtu usijiroge ukakimbilia kuoa wanawake wa kizungu... Refer Tiger Woods na Kobe Bryant kama sikosei
nawe pia mkuu.. heri ya mwaka mpya.. hawa viumbe sio wa kuwaamini 100% ni bora hata uandike majina ya watoto ila sio hawa mama zaoUmeninyang'anya tonge mdomoni.Nilitaka kusema vivyo hivyo....Heri ya mwaka mpya
Ila inabidi kusikiliza na upande wa pili wa mto.Usihukumu kwa kusikiliza upande mmoja (always).Mshikaji labda alikuwa na michepuko nk Wamama wengi huwa si wasemaji sana ila huwa ni hatari sana ukiingia kwenye anga zaonawe pia mkuu.. heri ya mwaka mpya.. hawa viumbe sio wa kuwaamini 100% ni bora hata uandike majina ya watoto ila sio hawa mama zao