sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,026
- Thread starter
- #141
Mimi nimeleta mifano ya Nyimbo na ni katoa kabisa mfano wa nyimbo nailink hapa
Nimejaribu kugoogle top hip hop song za siasa even top 50 sijaona hata moja ya Em, zaidi ya moja alioshirikishwa, na free style especially kwenye bandwagon ya kumcritisize trump doesn't count, Hapo nchi Nzima tayari ipo Brainwashed kumchukia Trump, vyombo vya habari na social network hadi wamemfungia, hakuhitaji Guts zozote Kum critisize.
Mkuu, hapo kwenye changes, 2 pac alikuwa na upper hand kwasababu yeye mwenyewe kaimba kama muhusika mlengwa wa kunyanyaswa kwa watu weusi marekani.
Sidhani hat kama eminem angeimba hio changes angeteka hisia za mashabiki kama ambavyo anaimba mtu mweusi.
Kwa kuwa hip hop imetulenga sana watu weusi, ngoma za siasa nyingi za hip hop huwa zinalenga harakati za kumkomboa mtu mweusi na huwa inakua na uhalisia zaidi pale anapoimba mtu mweusi na hapa ndipo eminem hafui dafu
Eminem akikaza kwenye kuimba siasa kumtetea mtu mweusi itakuwa ni sawa na miaka ya 1961 tunavyopambania uhuru kungekwepo na muingereza anaeimba kushinikiza nchi yetu ipate uhuru, hata angeimba vipi, Watazania tungezipa kipaumbele nyimbo za watanzania hata kama ni za kawaida.
Pia Eminem ana limit zake nae kwa ngozi yake, 2 pac na wenzake wanaweza kutumia neno la nigger lakini rangi ya eminem inam limit, ataonekana kawatukana watu weusi, mfano kwenye changes kuna mstari wa "Police Pull the trigger, kill a nigga, he's a hero", Na ikumbukwe hilo neno la nigga linatia msisitizo san kuliko black man, black people, n.k
Kwa hio kuna sehemu kama siasa sidhani ni vyema kumuweka eminem humu,