Eminem is overrated, yes I said it

English course inakupa munkari uje uandike madudu huku...😂😂😂😂
you're just one clit ras simbas graduate with those all grammars rules he taught you tryna make the change it wont work and too damn late for that now ...kama umezoea kundika speech za kwenye dictionary mkuu ni wewe ....nyamaza sema uliwashwa basi find some one to fist you
 
Dah mzee hii statement labda ungemsemea Logic.
Eminem watu weusi wanamkubali kinoma tena wanamuweka levo za juu kinoma.
kwasasaivi ukiita mablack ukawaambia wapige kura who is the best rapper alive im sure Eminem atashinda kwa kishindo.

ila mimi hiyo dhana ndo naipinga...Sawa jamaa anajua na ana flow nzuri lakini generally hana maajabu maana flow zake watu wengi wanatembea nazo hana punchline za maana,hana schemes hana uandishi wa kufikirisha
Hagusii topic za kiharakati kama BLM
Etc. etc.

Mf. Ule wimbo wa Drake-Forever ft. Kanye West,Lil wayne na Eminem
watu 90% walisema Eminem ndo ameua verse yake lakini ukiangalia lyrics amezidiwa punchline na lilwayne hata drake.

Kwa flow amezidiwa hata na Kanye maana aliflow kawaida sana maana beat liko slow akafosi kuchana fasta(hana style nyingi kama wenzake)

alichofanya ni kujisifia tu anavyojua kuchana na jinsi anavyowazidi kuchana watu wengi kwenye Verse zima...
Lakini ndo watu wakamuabudu na kusema Amefunika anajua sana

I am not a Stan(sheep)
Mdogo wangu....tafuta wimbo unaitwa Renegade wa Jay Z ft Eminem....nadhani unamjua vizuri Jay Z sasa kasikilize alichofanywa mule ndani.
 
Marshall Mathers aka slim shady aka eminem aka the most overrated rapper alive
I mean lets call a duck what it is
Huyu jamaa watu wanasema anamzidi Lil wayne n a kendrick lamar

Mimi nasema otherwise
Nimejaribu kusikiliza projects zake kibao lakini wapi
Nakuomba wewe kama stan ujaribu kunielewesha uGOATness wa huyu jamaa kuwazidi hao nliowataja
Im open minded
"I had a dream, I was king
I wake up, still king
This rap game's nipple is mine for the milking
Until nobody f@ckin feels me, until it kills me
I swear to God I'll be the f@ckin illest in this music"

Man, did you just say Eminem is overrated? Like serious? Come on man, slim mother f@ckin shady is not the best in the world. He's the best in the entire solar system!

Kwani hukusikiliza "no love" ambayo lil wayne wako alifunikwa, akafunuliwa, then akafunikwa jumla kwa verse moja tu? Kwani hukusikiliza "drop the world" ambayo eminem aliiangusha dunia, akaiokota then akaiangusha jumla lil wayne akiwa anashuhudia?

Kasikilize Jay Z alichofanyiwa kwenye "Renegade", ni unyama mtupu maniner!

Unaweza usimpende Eminem, ni kawaida huwezi kumpenda kila mtu, ila kazi yake inajieleza!.

Kwenye interview moja The game aliulizwa, utafanya nini ukijikuta kwenye rap battle na eminem? The game alijibu kwa neno moja tu, " RUN".

Outstanding flow, the best story teller, heavy punchlines, and the best free styles. Nakubali, hawezi kuwa best kwenye kila category, but if you sum them up, he's on a level of his own!

Kua na adabu next time ukiwa unamuongelea the hip hop's Leonel Messi. Kendrick still has a long way to go. Muweke na akina J cole huko, sio Marshall.

Niko nasikiliza "love the way you lie" hapa Rihanna ananisaidia kutafuta usingizi. Now f@ck you, and have a good night!
 
halafu kuna ile monster ..ni nyoko na nusu
 
Exactly. Best in the entire solar system.
 
Trust slim shady is overrated ila kumlinganisha na little wyne ni kumkosea adabu sana
 
Ule wimbo kuna wengine walimlaumu Jay Z kukubali utoke. Ule ni kipimo kimojawapo cha the best rapper alive. Jigger alimezwa kuanzia studio mpaka kwenye show (rejea show yao ya 2010).
Ni kweli mkuu hata kwenye dis track ya Nas kwenda kwa Jay Z inaitwa "Ether" kuna line Nas anasema "Eminem murdered you on your own shit" akimaanisha kwenye wimbo wa Renegade.
 
"I had a dream, I was king
I wake up, still king
This rap game's nipple is mine for the milking
Until nobody f@ckin feels me, until it kills me
I swear to God I'll be the f@ckin illest in this music"

Man, did you just say Eminem is overrated? Like serious? Come on man, slim mother f@ckin shady is not the best in the world. He's the best in the entire solar system!

Kwani hukusikiliza "no love" ambayo lil wayne wako alifunikwa, akafunuliwa, then akafunikwa jumla kwa verse moja tu? Kwani hukusikiliza "drop the world" ambayo eminem aliiangusha dunia, akaiokota then akaiangusha jumla lil wayne akiwa anashuhudia?

Kasikilize Jay Z alichofanyiwa kwenye "Renegade", ni unyama mtupu maniner!

Unaweza usimpende Eminem, ni kawaida huwezi kumpenda kila mtu, ila kazi yake inajieleza!.

Kwenye interview moja The game aliulizwa, utafanya nini ukijikuta kwenye rap battle na eminem? The game alijibu kwa neno moja tu, " RUN".

Outstanding flow, the best story teller, heavy punchlines, and the best free styles. Nakubali, hawezi kuwa best kwenye kila category, but if you sum them up, he's on a level of his own!

Kua na adabu next time ukiwa unamuongelea the hip hop's Leonel Messi. Kendrick still has a long way to go. Muweke na akina J cole huko, sio Marshall.

Niko nasikiliza "love the way you lie" hapa Rihanna ananisaidia kutafuta usingizi. Now f@ck you, and have a good night!
Hizo ngoma mbili za No love na drop the world...zote eminem kafunikwa.

Storrytelling em anapigwa bao na Kendrick niambie story gani kali ya eminem inazidi hata Sing About me Im dying of thirst ya kendrick
Em ni mzungu ndo kinachombeba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom