Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,945
- 22,096
Blv me kuna michezo michafu inaendelea kati ya coach Maximo na. viongozi wa. Yanga,,unaweza kujiuliza zile pesa alizopewa jaja acheze zimetoka wapi n kama hivi hayupo kwa nini asirudishe pesa zetu NANI anakula nae jibu utalipata kwa Mbrazili ,mwingine Emerson sty tuned