Emerson, another Jajalism from Maximo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Blv me kuna michezo michafu inaendelea kati ya coach Maximo na. viongozi wa. Yanga,,unaweza kujiuliza zile pesa alizopewa jaja acheze zimetoka wapi n kama hivi hayupo kwa nini asirudishe pesa zetu NANI anakula nae jibu utalipata kwa Mbrazili ,mwingine Emerson sty tuned
 
Hivi Timu ya Tunisia walishawalipa SIMBA? Maana hapa sielewi unaongea nini?
 
yanga timu ya machizi tu..yanapelekwa pelekwa tu na yule muuza sembe...
 
Blv me kuna michezo michafu inaendelea kati ya coach Maximo na. viongozi wa. Yanga,,unaweza kujiuliza zile pesa alizopewa jaja acheze zimetoka wapi n kama hivi hayupo kwa nini asirudishe pesa zetu NANI anakula nae jibu utalipata kwa Mbrazili ,mwingine Emerson sty tuned

wewe umetoa shs ngapi
 
dili ya madawa na mbrazil itakuwa inaenda vizuri sana, bonge la dili:glasses-nerdy:
 
Blv me kuna michezo michafu inaendelea kati ya coach Maximo na. viongozi wa. Yanga,,unaweza kujiuliza zile pesa alizopewa jaja acheze zimetoka wapi n kama hivi hayupo kwa nini asirudishe pesa zetu NANI anakula nae jibu utalipata kwa Mbrazili ,mwingine Emerson sty tuned

Usiulize zinatoka wapi...kwa sababu yanga yenyewe haina pesa.....kwa hio huna haki ya kuuliza zinatoka wapi...
Zilikotoka za kumlipa jaja ndipo zinatoka za kumlipa huyu kibonde mwingine. Makoye Matale
 
Last edited by a moderator:
Kwani za kumlipa kiongera zimetoka wapi je karudisha hoji usajili wa mchezaji mwenye pancha mwili mzima kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom