Emerald Wangu Erotica Ndo Umesepa Kabisa?

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Katikati ya mwezi wa tano nilimlalamikia best yangu Boflo akuhimize uje home na kujitokeza JF. Boflo alisema ulikuwa unamalizia kuosha macho yako huko Bongo na ungerudi soon. Hukuja home, ila ulichokifanya ni kuingia JF
na ku-like post yangu ya malalamiko. Yaani uliifurahia sana hiyo post au?Mimi nilifikiri ungeweka post kusalimia wanachitchat lakini wapi. Ukaishia ku-like post tu! Emerald, kwa nini unaniweka pabaya hivyo?Nyumbani tangu Zuhura yule msichana wa kazi aage kwamba anaenda kwao, naye hajarudi mpaka leo. Triphona na Triphonia wananipa wakati mgumu mno; nawaacha kwa jirani nikienda kazini. Naomba ukae ukijua kwamba hali hii sitoweza kuendelea nayo kwa muda mrefu zaidi bila kuwa na 'msaidizi' Hope you know what I mean.

Kuna watu hapa JF tabia zao zilinifanya niliwashuku kuhusiana na kupotea kwako.Sio kwamba nawashtaki ila ni mawazo tu ya kawaida.Watu hao ni: Asprin. Judgement, na Bishanga.

Naendelea kutumia subira iliyobaki.
 
Last edited by a moderator:

HYGEIA Una akili sana wewe!
 
Mie wanionea bure, kwakuwa ni mimi tu nimebakia.... ni mimi tu kuwaleteeni habari!
 
Back
Top Bottom