LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,449
But J is the richest of them all now ooops lolBasi yaelekea Jacky kichwani ni bure sana....
Nilijuaga genius.....
Ulichosema hapo yaelekea ana akili kisoda sana,maana hayo maamuzi aliyofanya ni ya kiajabu sana!
Na pia theory yangu nazidi kui-prove zaidi na zaidi maana angekua na akili mingi kiivyo Amorette isinge sua sua kiivyo
Amorette ingetakiwa iwe household name kama ilivyo benkmark vile...
Itoshe kusema Madam Ritha kwenye akili ya biashara anamzunguka Jacky mara kama elfu kadhaa.....na yule mama Mercy anawazunguka wote mara milioni kadhaa....
Kwahiyo among the three women,Jack ndio dumbest of them all!
Any other theory to refute mine is welcomed!