Emelda Mwamanga(BANG) aelezea bifu lake na Jacky pamoja na the late Mengi

Basi yaelekea Jacky kichwani ni bure sana....

Nilijuaga genius.....

Ulichosema hapo yaelekea ana akili kisoda sana,maana hayo maamuzi aliyofanya ni ya kiajabu sana!

Na pia theory yangu nazidi kui-prove zaidi na zaidi maana angekua na akili mingi kiivyo Amorette isinge sua sua kiivyo

Amorette ingetakiwa iwe household name kama ilivyo benkmark vile...

Itoshe kusema Madam Ritha kwenye akili ya biashara anamzunguka Jacky mara kama elfu kadhaa.....na yule mama Mercy anawazunguka wote mara milioni kadhaa....

Kwahiyo among the three women,Jack ndio dumbest of them all!

Any other theory to refute mine is welcomed!
But J is the richest of them all now ooops lol
 
Of course....

Ila Madam ana akili fulani hivi ya biashara na kusimamia na kujitegemea at highest level,I don't think that's the case with Jacky!

Infact quiet the contrary!

Jacky's brains will be exposed now since machache kasepa...!

Anaweza kaukiwa hadi zile range zikageuka kua RAV4,haya maisha sio mchezo kabisa!

Let us see
😁😁😁 ule usemi wa baba ni kichwa ya family utadhihirika sasa
 
Na wale wenye doctorate na uprofesa wamefanya nini cha maana kwa manufaa ya watanzania ?
Wenye doctorate na uprofesa umewataja wewe hivyo wewe ndo utaje walichokifanya kwa manufaa ya Tanzania maana mimi nimemzungumzia huyu wa darasa la saba...!!
 
Emelda ila kapoa nw ..namuonaga Mbezi beach ...
Huyu alifilisika kwa kutaka kuishi lavish life kushinda kipato chake. Mumewe aliongeza mtaji mule biashara ikatanuka bibie akaanza kuishi ki-posh jamaa alipojitoa biashara ikasambaratika. Na si unajua tena enzi za jiwe zile za kupiga toka kwa mdingi zikakata
 
Nazikumbuka mnoo ofisi zao nami niliwah kwenda...yes Emelda ana roho ya upekee mnoo ht ukikutana naye mitaanj ukimsalimka anakichangamkia sana sana na tabasamu juu...alafu sasa Emelda na Jacky ...Emelda katoka familia ya kisomi na kitajiri..kwao wanazp balaa ..yaan khaa..Ila ndo binadamu.
Kina Eme wanazo (matajiri)? Toka lini? Mbona alifilisika? Labda useme ni wasomi (tena wastani). Kafulia mpaka kashindwa kuchangia kile kikundi cha kinadada cha ARAIZ.
 
Back
Top Bottom