Emelda Mwamanga(BANG) aelezea bifu lake na Jacky pamoja na the late Mengi

Madam Ritta nasikia nae yalimkuta akajikuta nje na BSS yake.
Basi yaelekea Jacky kichwani ni bure sana....

Nilijuaga genius.....

Ulichosema hapo yaelekea ana akili kisoda sana,maana hayo maamuzi aliyofanya ni ya kiajabu sana!

Na pia theory yangu nazidi kui-prove zaidi na zaidi maana angekua na akili mingi kiivyo Amorette isinge sua sua kiivyo

Amorette ingetakiwa iwe household name kama ilivyo benkmark vile...

Itoshe kusema Madam Ritha kwenye akili ya biashara anamzunguka Jacky mara kama elfu kadhaa.....na yule mama Mercy anawazunguka wote mara milioni kadhaa....

Kwahiyo among the three women,Jack ndio dumbest of them all!

Any other theory to refute mine is welcomed!
 
Hana akili hizo dada yangu!

Simply put!

Akienda humo,kesho asubuhi anarudi mikono mitupu!

tufanye experiment ndogo sana:

Sasa hivi machache keshavuta zake....

Sasa ile ile Amorette ndani ya miezi sita ijayo ni lazima ife au ipunguze operations!

Mark my words!

The bitch is just dumb...

Ila kwa kupiga picha tu za kujianika insta anaweza masikini,and I wonder why,hua anashindana na nani mle?
fact!
 
Madam Ritta nasikia nae yalimkuta akajikuta nje na BSS yake.

Of course....

Ila Madam ana akili fulani hivi ya biashara na kusimamia na kujitegemea at highest level,I don't think that's the case with Jacky!

Infact quiet the contrary!

Jacky's brains will be exposed now since machache kasepa...!

Anaweza kaukiwa hadi zile range zikageuka kua RAV4,haya maisha sio mchezo kabisa!

Let us see
 
Ni kama butwaa fulani hivi hata akilazimisha kulia hawez mpaka ajikumbushe matukio ya huzuni sana ndo analia, baada ya masiku kadhaa ule uchungu ndo utakuja atalia vya kutosha

Kila akipitia gumu alilokua akipata msaada wa mzee machozi yatamwagika vya kutosha.
Meno rafiki watu tumetofautiana sana kwenye kuomboleza
Kuna watu hawalii kabisa ila lile tukio linamtesa maisha yote
Kuna watu anakaa kama bwege haelewi siku mbili presha imepanda na yeye anaanguka

Kuna wengine wanalia wanaropoka uchungu unaisha maisha yanaendelea

Mimi nipo hapo no. Moja
 
juzi nlifungua uzi hapa CODED ila hakuna aloo vunja izo code

JACK & SHIMI sio watu wazuri and do not underestimate them(mtandao wao) hasa SHIMI in short they play smart

Mimi 🐠
 
Duh aiseee na vile kazungukwa na mashosti classic,shopping dubai,france etc

Hope atatumia akili vizuri wanae wapate future ya kueleweka

Zile donations na foundation hope ataziendeleza vizuri kwa connectios za Mzee,maana mdhamini ndo huyo hatunaye
Of course....

Ila Madam ana akili fulani hivi ya biashara na kusimamia na kujitegemea at highest level,I don't think that's the case with Jacky!

Infact quiet the contrary!

Jacky's brains will be exposed now since machache kasepa...!

Anaweza kaukiwa hadi zile range zikageuka kua RAV4,haya maisha sio mchezo kabisa!

Let us see
 
juzi nlifungua uzi hapa CODED ila hakuna aloo vunja izo code

JACK & SHIMI sio watu wazuri and do not underestimate them(mtandao wao) hasa SHIMI in short they play smart

Mimi 🐠
sababu watu wameshindwa vunja hizo code watafunie tu basi
 
Of course....

Ila Madam ana akili fulani hivi ya biashara na kusimamia na kujitegemea at highest level,I don't think that's the case with Jacky!

Infact quiet the contrary!

Jacky's brains will be exposed now since machache kasepa...!

Anaweza kaukiwa hadi zile range zikageuka kua RAV4,haya maisha sio mchezo kabisa!

Let us see
nilipata kusikia watoto wa mzee Ntuyabaliwe ndivyo walivyo...wanapenda maisha ghali ila wote orijojo kichwani!
 
Of course....

Ila Madam ana akili fulani hivi ya biashara na kusimamia na kujitegemea at highest level,I don't think that's the case with Jacky!

Infact quiet the contrary!

Jacky's brains will be exposed now since machache kasepa...!

Anaweza kaukiwa hadi zile range zikageuka kua RAV4,haya maisha sio mchezo kabisa!

Let us see

Let's wait and see if she will be able to maintain that boss-lady title / status, now its fair to compare zari with jacky, they are both widowed to millionaires , though zari seems to maintain her status even after ivan departed , issue kwa bibie, na hvi shule kichwan Ndo hamna , now tutaona mengi Sasa
 
Back
Top Bottom