Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Habari
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya wanaume kuanzisha nyuzi kwenye jukwaa hili au MMU, wakiwa tag memba wa kike kwamba wanawapenda sana. Hili limeshika kasi kubwa sana.
Inapotokea memba mpya wa kike akiwa akiwa active vinaanza tu uzi twa mfano, ANITHA: NAKUPENDA SANA, NASHINDWA KULALA ....
Inapotokea memba wa kike akaanzisha uzi mfano NIMEBANWA MKOJOhahah nakuhakikishia huo uzi utaenda mpaka kurasa ya 50. Mwanaume anzisha uzi nataka kununua kiwanja duh unaweza ukamaliza mwaka usipate mrejesho
Wengine wakiona new uzi wa kwanza kukoment kabla hajasoma
NIISHIE HAPO