Embu Tujikumbushe enzi za chupi V.I.P wakati huooo Una..

V.I.P Ni aina ya
chupi ambazo zilitawala sana kila mwanafunzi alikuwa Nayo bila kujali
jinsia,

Maajabu ya V.I.P Kwa wale wana michezo watakumbuka zilikuwa Raisi sana
kukatika pale ikweta,Then kama uko una piga boli,mpira wa makaratasi
Mwanawane Unaikuta imepanda mpaka Mgongoni.

Mnaikumbuka VIp?

zubedayo, Ha ha ha! mi nakumbuka ukiipata lazima ukivaa ionekane kidogo ili "videnish" waone kama unayo vip! ila nakumba na zile 007
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom