Embu soma jinsi gani viongozi wa yanga walivyokaa kiutapeli tapeli tu!!shame on them | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Embu soma jinsi gani viongozi wa yanga walivyokaa kiutapeli tapeli tu!!shame on them

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Nov 8, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,457
  Likes Received: 5,704
  Trophy Points: 280
  Uongozi wa yanga umepiga marufuku mtindo ulliotumiwa na mmojawa mwanachama mpenda yanga
  david mosha..katika waraka wao walioutoa na mmoja wa waandishi wetu kuuona wamesema kitendo
  cha mosha kuwapa pesa wachezaji moja kwa moja ni kitendo cha kihuni pesa zote zinatakiwa kupewa
  wachezaji kupitia viongozi.....

  Narudia pesa zote zinapaswa kupewa wachezaji kupitia viongozi,,nasema sie tuliamua kukaa kimya maana tulivyojua
  hilo tukaona atukimkatalia loh moto wa wachezaji utakuwa mrefu...tukamwambia awape anavyotaka lakini
  ukweli ni kwamba ile ni mara ya kwanza na ya mwisho atutoruhusu tena misaada ya aina ile alisema nchunga/l

  nimekuwa nikijiuliza kwa nini watu wanangangania madaraka na hiizi statement zimenionyesha viongozi wengi mmekuwa mkila pesa za wachezaji ;pamoja na kujifanya mnataka kampuni lazima mjiangalie upande wenu kwa nini mnakataa mtu kutaka kutoa pesa mojakwa moja kwa wachezaji nyie kunawahusu nini??lipi baya na mbaya zaidi waanasema ati linawaathiri wachezaji na familia zao shame on you all mbona mkiwapa pesa nyie mnatangaza...akuna upuuzi niliowadharau kama mikataba ya kina mmba na wenzake..kama mlikuwa amajui kuna katibu wa yanga huyo ndie alikuwa ameleta vichekesho kwa kuwa anajuana na mtu ndioo maana yuko hapo..kilichofanya manji kujitoa ni wizi wa pesa walikuta mchezaji amepewa mkataba tofauti na aliopewa manji...hapo alichanganyikiwa alipoona zaidi ya million 8 zinaingia mikononi mwa watu aakaapa ngo!!

  Viongozi wa yanga mnatufundisha nini kwa hili kama nina pesa ya kuwapa wachezaji nisitoe kisa mnataka kujaza matumbo yenu???

  Shame shame shame on you all
   
 2. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Kiukweli nakuunga mkono kwa hili,hata lile la Timbe kulala hotel ya dola 75 kwa cku hata mm naona haliingii akilini,mwisho wa cku anadaiwa mil19 hv pesa zote hizo kama wangempangia nyumba hata kwa mwezi dol mia5 kwa mwaka ingekuwa dola elf 6 kwa pesa ya tanzania sawa na shil milioni 10 na ushee,timbe yanga hana hata mwaka kama ingekuwa hakuna 10% wangeweza okoa pesa nyingi sana,tatizo wataibaje ndio ubabaishaji wa namna hii unavyotokea,kidogo kidogo tutafika,mosha ameshakuwa kiongozi yanga anajua pesa huwa zinachakachuliwa thus why ameamua kuwapa wacheza moja kwa moja,mbona hata manji huwa anawapa pesa wachezaji mazoezin na hawasemi?conflict of interest inaingia
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Town kisomo.
   
Loading...