EMBU: Mwendesha Bodaboda achoma nyumba baada ya wazazi kumkataa mchumba wake

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,409
20,759
1384039.jpg


EMBU, KENYA: Mwendesha Bodaboda, amechoma nyumba ya wazazi wake baada ya kumkataa mchumba wake. Anashikiliwa kwa makosa ya jinai.

Samuel Njeru alirudi nyumbani katika kijiji cha Gacucari akiwa amelewa ndipo alipoingia katika mzozo na wazazi wake kuhusu msichana aliyepanga kumuoa.

Majirani walisaidia kuuzima moto huo kabla haujateketeza nyumba yote. Kiongozi wa Polisi amewataka wazazi wake na kumaliza mgogoro huo na kijana wao.


======
A boda boda operator in Embu has burned his house after his parents rejected his fiancée.


Samuel Njeru arrived drunk at his home in Gacucari village and reportedly picked a quarrel with his parents over the woman he intends to marry.

Area OCPD Mark Wanjala said Njeru in a spate of anger descended on his three semi-permanent bedroomed house and set it on fire.

He said Njeru will be charged with arson.

Neighbours helped to put off the fire before it could consume the entire house.

The police chief asked parents and youth to settle family disputes in an amicable and sober way.

Source: The Star
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom