Uchaguzi 2020 Embu mtujibu kwa mfano wewe ndio Mbowe kwenye kampeni utasimama uwaambie nini watu? Ili wakuchague Tena

Kwaio chadema unaweza kuajir wahitim wote? Au mnataka mtumie matatizo Yao kujinufaisha?
Hayo matatizo si mmeyaleta nyie? Employment rate kwenye awamu ya tano ni ndogo sana tangu nchi hii ipate uhuru.

Uongozi mbovu ndio chanzo cha haya.
 
Pamoja na porojo nyingi ila mwishoni ndio umetia fora!...
Ukisema serikali haikufunga lock down unamaana gani? Unaelewa ulichoandika wewe?
...humo humo kwenye corona kuna madudu mengi ya serikali na wananchi wanajua, usijitoe fahamu mkuu!!
 
Umesikia wapi wanachama wa CHADEMA wameandamana kuwa haeamtaki mwenyekiti aliyepo na wanamtaka mwingine? Akili gani hizi?
Unajua mbowe toka ameingia kwenye wenyekit ni miaka mingap angepisha wenzake nawenyewe wakapata ajira ungekua sawa kwa unayo YASEMA kingine Sio watu Wana Hali ngum sema nyie mnao tegemea siasa ili mle Hali mgum itakua Sana upande wenu sababu upepo umevumia kwingine
Alafu kakwambia Nan kua Kuna kiongozi wa kisiasa anaweza kubadilisha maisha ya raia wa kawaida kwa siasa zake

Maisha ya mtanzania yanabadilishwa kwa miundo mbinu Sio kiongoz kukuletea hela
 
Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?

Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi

Au mtawaambia serekal ime muua akwelina

Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru

Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi

Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
Ivi ni tallest mountain au highest?
Screenshot_20200606-224713_1591509477296.jpeg
 
Ila tambua pia raia sio wajinga. Wanaangaloa upingaji wako.

Nikweli sio wajinga

Wamejazana mitaani .....Engineers, economist, teachers, doctors, geologists etc No Employment

2. CCM imetangaza maelfu ya viwanda ...cha ajabu mitaani hayaonekani... Enzi ya hayati Mwl Nyerere tuliona viwanda

1. Vya nguo ,(mwatex, sungura, urafiki, mbeya textile nk
2. Vya mbolea,
3.chuma,
4. Plastics- amboni
5. Mkonge,
6. Usafiri uda, tazara, trc nk

Tutasubiria tuone ujinga wao.
 
We unafikiri kuanzisha viwanda ni kuamka tu na kuweka kama unavyotaka au unataka serikali ndo ianzishe viwanda vyote kama ilivyokuwa wakati was nyerere( centralized economy ambayo ilifail kwa kukosa efficiency) sasa hivi tuko new age serikali inaweka mazingira bora sekta binafsi wanaanzisha(liberal economy ndio Inaweza kuwork kwa sasa).
USHAURI:Acha kubweteka Fanya kazi au tafuta mtaji uanzishe wewe kiwanda. Serikali itaajiri wangapi?
 
Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?

Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi

Au mtawaambia serekal ime muua akwelina

Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru

Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi

Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
Ni vizuri sana.

Kwanini mnaogopa tume huru?
Kwanini kimbilio lenu ni vyombo vya dola badala ya hoja?
 
Nitawalipa wafanyakazi mishahara minono,nitatoa ajira za kutosha,nitatafuta soko la mazao kama korosho pamba nk.Nimeanza na hayo kwanza
 
akili zako finyu Sana cjui km ulipata bahati ya kwenda shule kiondoa makunyanzi kichwan au ilikosa kbsa, nchi hii ilivyobado kwenye mambo mengine utasemaje mhombea atakosa ahadi kwahyo magu kwa kipindi chake hiki cha miaka 5 amemaliza matatzo ya WATZ yote? Sahz watz hawana matatzo tena?
 
We unafikiri kuanzisha viwanda ni kuamka tu na kuweka kama unavyotaka au unataka serikali ndo ianzishe viwanda vyote kama ilivyokuwa wakati was nyerere( centralized economy ambayo ilifail kwa kukosa efficiency) sasa hivi tuko new age serikali inaweka mazingira bora sekta binafsi wanaanzisha(liberal economy ndio Inaweza kuwork kwa sasa).
USHAURI:Acha kubweteka Fanya kazi au tafuta mtaji uanzishe wewe kiwanda. Serikali itaajiri wangapi?

Akili zako ni very primitive hustahili kujibiwa kama mtu mwenye akili.

1. Unadhani kila ndege moja ingejenga viwanda vingapi? (Kwanini tukawekeza kwenye madege ilhali Fasta jet na prescision walikuwepo)

2. Viwanda

Jenga mazingira bora na sahihi ili uwavutie wawekezaji watawekeza kwenye
A) madini
B) kilimo
C) uendashaji na usafirishaji
D) utengenezaji nk
 
Una stress za maisha acha uvivu ufanye kazi la sivyo utakufa maskini ukiwatumainia wanasiasa wakupe ajira akili za matopeni kabisa.
 
Akili zako ni very primitive hustahili kujibiwa kama mtu mwenye akili.

1. Unadhani kila ndege moja ingejenga viwanda vingapi? (Kwanini tukawekeza kwenye madege ilhali Fasta jet na prescision walikuwepo)

2. Viwanda

Jenga mazingira bora na sahihi ili uwavutie wawekezaji watawekeza kwenye
A) madini
B) kilimo
C) uendashaji na usafirishaji
D) utengenezaji nk
Mazingira bora yapi? yataje
 
Back
Top Bottom