Uchaguzi 2020 Embu mtujibu kwa mfano wewe ndio Mbowe kwenye kampeni utasimama uwaambie nini watu? Ili wakuchague Tena

Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?

Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi

Au mtawaambia serekal ime muua akwelina

Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru

Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi

Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
The Main Point ya kuangazia hapa sio Siasa za Maneno wanazofanya Wapinzani wakubali kuwa CCM This time wamefanya kazi na wametekeleza Ilani kwa Mapana makubwa kiasi hakuna cha kuzungumzia zaidi zitainuka Agenda kama hizi za matukio yanayozungumzwa na Upinzani.Tukutane October ndipo wataelewa CCM inafanya kazi vipi na imeeleweka kwa kiasi gani katika Jamii.
 
Akili zako ni very primitive hustahili kujibiwa kama mtu mwenye akili.

1. Unadhani kila ndege moja ingejenga viwanda vingapi? (Kwanini tukawekeza kwenye madege ilhali Fasta jet na prescision walikuwepo)

2. Viwanda

Jenga mazingira bora na sahihi ili uwavutie wawekezaji watawekeza kwenye
A) madini
B) kilimo
C) uendashaji na usafirishaji
D) utengenezaji nk
Bahati mbaya unaongea na mtu ambaye nipo fully on myself na am contented
Zero brain.
Mtu ambaye yuko fully haanzishi personal attack kwa mtu anaetoa maoni yake, unastress whether you admit it or not and you immediately need to visit a psychologist for your mental and psychological health.
POINT TO NOTE: usiforce kila mtu awe na mawazo kama yako kama wewe ungeacha kununua ndege ukaanzisha viwanda unavyosema, hiyo ni wewe and you must remember kwanini viwanda viliishinda serikali mpaka wakavibinafsisha, we don't need to repeat the same mistake. Naamini mh. RAIS Ana washauri makini (kuliko hayo mawazo yako duni) ambao wanamshauri vzr and he is doing well anyway, only few haters wanapiga kelele lkn the majority tunakubali na kuappreciate anachokifanya. By the way Mimi sina mlengo wowote wa kisiasa maana mmezoea kusema anaesapoti serikali inachokifanya in CCM, namkubali kila mtu ambaye ni makini na firm.
That's my last massage to you UWE NA MCHANA MWEMA.
 
Kama hakuna cha kuongea mbona sasa hamruhusu mikutano ya hadhara??
 
Mikutano ya hadhara inakusaidia nini? Think kuijenga nchi hasa kwa mapana ya mtu mmoja mmoja leo kila mtu akihutubia nakutoa speech nchi itajengwa saa ngapi? Lazima ujitazame ni nini hasa na kipi unahitaji kujenga nchi yako na sio mawazo yanayokinzana na maendeleo kwa Agenda dhaifu kama hii.
 
Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?

Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi

Au mtawaambia serekal ime muua akwelina

Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru

Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi

Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
Mistari ya mwisho kabisa nakuunga mkono baba
 
Buji ukiweza hizi post za LMb7 zipotezee.. Zinawekwa hapa kwa lengo maalum... Zikikosa wachangiaji zitakufa natural death

Jr
Halafu fala mmoja, fala tu, anajiita The Icebreaker, analalamika eti nalamba viatu vyako, Sasa leo nataka atoke lijipovu, mpaka akome, asipotoa viatu vyake nivilambe hadi vipungue size, Basi ana matatizo makubwa mno, hasa ya kinguvu za kihisia
 
Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?

Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi

Au mtawaambia serekal ime muua akwelina

Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru

Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi

Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
Kwahiyo zile nchi zilizoendelea huwa hakuna vyama vyenye sera mbadala aka vya upinzani?
 
Unajua mbowe toka ameingia kwenye wenyekit ni miaka mingap angepisha wenzake nawenyewe wakapata ajira ungekua sawa kwa unayo YASEMA kingine Sio watu Wana Hali ngum sema nyie mnao tegemea siasa ili mle Hali mgum itakua Sana upande wenu sababu upepo umevumia kwingine
Alafu kakwambia Nan kua Kuna kiongozi wa kisiasa anaweza kubadilisha maisha ya raia wa kawaida kwa siasa zake

Maisha ya mtanzania yanabadilishwa kwa miundo mbinu Sio kiongoz kukuletea hela
kwa hiyo mnataka sera za chadema ziwe sawa na mboga mboga, mboga mboga wana zao na chadema wana zao, act wana zao, haziwezi lingana hata siku 1, kwa hiyo mnataka mlazimishe na chadema watoe fomu 1 tu ya uraisi ili wengine wasichukue,
 
Halafu fala mmoja, fala tu, anajiita The Icebreaker, analalamika eti nalamba viatu vyako, Sasa leo nataka atoke lijipovu, mpaka akome, asipotoa viatu vyake nivilambe hadi vipungue size, Basi ana matatizo makubwa mno, hasa ya kinguvu za kihisia
IQ yako iko below normal,ndio maana hata unachokiandika hakieleweki,
Kumbe siku ile dawa ilikuingia kisawa sawa eeh! na hiyo ndio faraja yangu,maana naona kila ukikaa jina langu linakuijia akilini mwako,sasa tulia niendelee na dozi,utapona tu huo uzezeta,

Endelea tu kumfuata nyuma huyo unayemlamba viatu na vistory vyake vyakusadikika vya wagagagikoko na mfalme juha.
 
Haha haha haaaaaaa unanichekesha Sana, wewe ni kiburudisho changu. Endelea na burudani
 
Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?

Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi

Au mtawaambia serekal ime muua akwelina

Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru

Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi

Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
ukiondoa dar es salaam hamna mkoa uliopo vizuri tanzania hii kama kilimanjaro njanja zote tangu enzi za mwalimu
 
Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?

Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi

Au mtawaambia serekal ime muua akwelina

Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru

Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi

Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
Inasikitisha kuona mwana Jamiiforums mwenzetu ana akili finyu kama baadhi yetu hapa. Hivo raisi ni wa kujisifia kununua ndege au kuchimba kisima au kujenga shule au kujenga barabara au mwendo kasi ?. Jamani kuweni na akili za kupambanua baina ya wajibu wa raisi na wajibu wa serikali na taasisi zake. Ninashangaa sana kuwa baada miaka 58 ya UHURU bado tunamsifu raisi kupeleka umeme vijijini. Kuna wizara husika zunazotakiwa kufanya kazi hizo. Maana ya wizara husika ni kwa ajili ya kutekeleza mambo hayo. Iko haja ya kupata katiba mpya ambayo itaeleza kinaga ubaga nini kazi ya raisi wa tanzania na ni nini kazi ya mawaziri na mipaka ya uwajibikaji inaishia wapi. Tanzania ni vurugu tu. Mwenye mamlaka hajulikani nani. Suala la Corona, raisi ameingilia mambo ya wizara kiasi kwamba waziri husika anajiona hana maana na kuufyata. Ni watu wasio jielewa wanaendesha nchi kama gari bovu na maadamu gari linakwenda hata tukienda msituni tunamsifu dereva kwa kujua kuendesha japokuwa tumeingia msituni.
 
Niliandaa kujibu, lakini nimegundua kumbe una lengo la kuwakejeli wapigania demokrasia na maendeleo ya kweli. bahati mbaya hata uandishi hujui kwa sababu kuna makosa mengi mno kwa ulichoandika. Inafahamika kuna watu wanalipwa ili kuwakejeli wengine.
Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?

Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi

Au mtawaambia serekal ime muua akwelina

Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru

Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi

Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
 
Mmeshindwa kuwapigania wapigania demokrasia ndan ya chadema nje mtaweza

Back
Top Bottom