embu kumbuka ni kituko gani ulilewa ukakifanya hutasahau!

flintsky

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
654
744
kama ni vituko na kupoteza akili basi wengi wengi hutokea tukiwa tumelewa!

hutaweza kujizuia kufanya kioja maana kwa wakati huo akili inaenda likizo kidogo.unaweza kufanya kitu kesho ukiambiwa hutaamini.vioja vyangu viko vingi ila ngoja niwape kilichonitokea mimi na nyie mtatoa yenu!.

kuna siku nilianza kama utani.tulichemsha nyama kwa konyagi baada ya kunywa supu ile ndio tukaanza mwendo wa one down.tulikuwa watatu kilichoharibu tulipiga mkalidoza nikampa mshkaji elf 2 kwamba hii ya taxi aiweke maana nilimuona ana afadhali cha ajabu yeye ndo akakata moto kumsachi elfu 2 hana ndo ilikuwa bei ya taxi zamani.duuuhh sisi wenye afadhali ikabidi tumbebe mwenzetu kwa zamu kukaribia geto jamaa akafufuka ghafla akapanda juu ya mti eti akate kebo ya tv ya jirani acha aporomoke akazimia baada ya masaa akaamka.
 
Back
Top Bottom