umeona kipenz
Na we kwanin umsevu mtiKuna mmoja nshalipia hadi uwanja kabisa, mzee nko kitandani nimejiachia, mtoto kushika simu kakuta nimemsave MTI, asee alichoropoka sikujua hata kaelekea upande gani, iliniuma sana dah.......
Wakati namn'goa sikuwa na nia hata ya kujua jina lake.........Na we kwanin umsevu mti
ArrurrabbarrennaMimi nimemsevu kwa jina la Dalali
Yupo dalali mmoja aliwahi kumrusha wife pesa japo tulikuja ya maliza, lakini hadi leo hampendi sana..
Nokaona hapahapa nipate jina la mchepuko, nikasevu Dalali wa viwanja.
Embu tupe wako...
I phone tzMimi nimemsevu kwa jina la Dalali
Yupo dalali mmoja aliwahi kumrusha wife pesa japo tulikuja ya maliza, lakini hadi leo hampendi sana..
Nokaona hapahapa nipate jina la mchepuko, nikasevu Dalali wa viwanja.
Embu tupe wako...
Daahh haka kabinti nakamiss sanaNa we kwanin umsevu mti
Kuna mmoja nshalipia hadi uwanja kabisa, mzee nko kitandani nimejiachia, mtoto kushika simu kakuta nimemsave MTI, asee alichoropoka sikujua hata kaelekea upande gani, iliniuma sana dah.......
Kimeo,Kifaduro,Kicheche,Subaru
Suzuki
Korando
Ginetta
Allianz
Bugatti
Honda
Bajaji
Premio
Buick
Pontiac
Ssangyong
Koenigsegg
Setra
Lamborghini
Autobianchi
Liaz
Ural
Farcel vega
Duh mjuba saluti sana!!!Subaru
Suzuki
Korando
Ginetta
Allianz
Bugatti
Honda
Bajaji
Premio
Buick
Pontiac
Ssangyong
Koenigsegg
Setra
Lamborghini
Autobianchi
Liaz
Ural
Farcel vega