Embu funguka, umemsevu mchepuko wako kwa jina gani?

Mimi nimemsevu kwa jina la Dalali

Yupo dalali mmoja aliwahi kumrusha wife pesa japo tulikuja ya maliza, lakini hadi leo hampendi sana..

Nokaona hapahapa nipate jina la mchepuko, nikasevu Dalali wa viwanja.

Embu tupe wako...
Arrurrabbarrenna
 
Subaru
Suzuki
Korando
Ginetta
Allianz
Bugatti
Honda
Bajaji
Premio
Buick
Pontiac
Ssangyong
Koenigsegg
Setra
Lamborghini
Autobianchi
Liaz
Ural
Farcel vega
 
Simu yangu ina passwords 3. Michepuko wanajua nina mke. Hawapigi wala kutuma msg mpaka niwatafute. Kwahiyo nimewasave vizuri: baby, Malaika, Soulmate, Beautiful, n.k
 
Mimi nimemsevu kwa jina la Dalali

Yupo dalali mmoja aliwahi kumrusha wife pesa japo tulikuja ya maliza, lakini hadi leo hampendi sana..

Nokaona hapahapa nipate jina la mchepuko, nikasevu Dalali wa viwanja.

Embu tupe wako...
I phone tz
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom