Embu funguka, umemsevu mchepuko wako kwa jina gani?

Nmekukumbusha wap mpenzi?
Hapa
IMG_20180305_131512_345.jpg
 
Ka'lulu.
Kalulu ni jirani yangu, lakini Ka'lulu ni mchepuko wa nguvu uliokwenda shule.
 
Weeee sikia unaisoma kwanza na kuimeza huku ukiwaza kuitendea kazi alafu sasa matusi utakayoporomosha hapo kwa mama la mama ...utasikia vyuma vimekaza kweli mpaka huyu mpumbavu sijui nani anafowad sms ....ngoja nizifute sitak ujinga mm
Hahahaha unaanza kujitukanisha wakati ukienda pemben unamtext mchepuko kwa mahaba yote kumbe mnamezaga sms
 
Back
Top Bottom