ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 15,586
- 59,260
Hahahaha aki si umenikumbisha mbaliDaddy is coming ?
Hahahaha aki si umenikumbisha mbaliDaddy is coming ?
Nmekukumbusha wap mpenzi?Hahahaha aki si umenikumbisha mbali
HapaNmekukumbusha wap mpenzi?
Baba bashite huyo. Hatarious
siku hiz una maneno kakUngalijua alacho nyuki, usingalionja asali.
Baba bashite huyo. Hatarious
Mimi mzima wa afya. Namshukuru Allah
Uko poa lakini best?
Mimi nimemsevu kwa jina la Dalali
Yupo dalali mmoja aliwahi kumrusha wife pesa japo tulikuja ya maliza, lakini hadi leo hampendi sana..
Nokaona hapahapa nipate jina la mchepuko, nikasevu Dalali wa viwanja.
Embu tupe wako...
Hahahaha unaanza kujitukanisha wakati ukienda pemben unamtext mchepuko kwa mahaba yote kumbe mnamezaga smsWeeee sikia unaisoma kwanza na kuimeza huku ukiwaza kuitendea kazi alafu sasa matusi utakayoporomosha hapo kwa mama la mama ...utasikia vyuma vimekaza kweli mpaka huyu mpumbavu sijui nani anafowad sms ....ngoja nizifute sitak ujinga mm
A man from koromijeDaddy is coming ?
Mmmmhh ulikubaliana nae?Kuna sehem nilikuta nimeseviwa "Jo" haha nadhani huyu jamaa akiulizwa hii namba ya nani nina uhakika atajibu huyu ni mshikaji wangu John
wanaume Mungu anawazoom