Embu funguka, umemsevu mchepuko wako kwa jina gani?

DATAZ

JF-Expert Member
May 25, 2012
2,429
5,887
Mimi nimemsevu kwa jina la Dalali

Yupo dalali mmoja aliwahi kumrusha wife pesa japo tulikuja ya maliza, lakini hadi leo hampendi sana..

Nokaona hapahapa nipate jina la mchepuko, nikasevu Dalali wa viwanja.

Embu tupe wako...
 
Back
Top Bottom