ZIMAMOTOMimi nimemsevu kwa jina la Dalali
Yupo dalali mmoja aliwahi kumrusha wife pesa japo tulikuja ya maliza, lakini hadi leo hampendi sana..
Nokaona hapahapa nipate jina la mchepuko, nikasevu Dalali wa viwanja.
Embu tupe wako...
HahahahahahaaaaaDaddy