Embattled PCCB chief finally on his way out

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
Embattled PCCB chief finally on his way out

By Bernard James
THW CITIZEN

The director general of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Mr Edward Hoseah, could finally be on his way out of the anti-corruption watchdog's top post, impeccable sources have revealed.

Highly placed sources have confided in The Citizen that the process to find a replacement for Mr Hoseah had begun.

They said the search for the country's next anti-corruption tsar was initiated a month ago and was in top gear.

Three respected personalities in public service, including a retired judge, have been identified as potential replacements, said one of the sources, who works with the judiciary.

These three individuals have been interviewed and the directorate of intelligence is vetting them before the successful candidate is named.

If all goes according to plan, the Government could announce changes in the bureau�s management before the end of this year.

However, Minister of State in the President's Office (Good Governance) Sophia Simba said she was not aware of the move to replace Mr Hoseah.

I'm not aware of any such plan. We do not have such information at the ministry, Ms Simba said by telephone from Dodoma last week when reached for comment.

She pointed out, however, that that any such process was in most cases initiated by the President himself. Changes of this nature are mostly done by the Head of State himself through other organs, she said.

Efforts to get a comment from the State House Directorate of Communications were futile by the time of filing this report.

The Prevention and Combating of Corruption Act 2007, empowers the President to hire and fire the agency's director.

PCCB has been under intense scrutiny since it was accused of incompetence after failing to detect corrupt dealings in awarding of a tender to generate emergency electricity to a briefcase outfit Richmond Development Company in 2006.

Parliament heard last week that the bureau had been hit by endless internal wrangles. Kigoma North MP Kabwe Zitto said senior PCCB officials were reportedly at loggerheads.

The rift, he told the House, had resulted in a witch-hunt among PCCB's top management.

But winding up debate on her ministry's budget estimates, Minister of State in the President's Office (Public Service Management) Hawa Ghasia said the Government was not aware of internal conflicts in PCCB.

She said, however, that the Government would investigate the reports to establish the truth.

What I can say is that the Government is not aware of the existence of conflicts and rifts among employees at the anti-corruption bureau. However, the Government will seek to establish if the claims are true, Ms Ghasia said, adding that PCCB was performing well.

But the Opposition claims that PCCB was not performing well, citing its failure to take legal action against individuals implicated in the Richmond scandal for which Mr Hoseah was harshly criticised and accused of attempting to clear the name of the company was which censored in Parliament earlier this year.

The public and some parliamentarians have continued to mount pressure on the PCCB boss to quit over the agency's alleged failure to investigate grand corruption allegations and take appropriate legal action.

According to one of our sources, the embattled Hoseah has survived as PCCB boss to allow the team formed late last year to investigate the Sh133billion External Payment Arrears (EPA) embezzlement scandal to finish its work. Mr Hoseah is a member of the team that is expected to submit its report later this week.

The team also comprises Inspector General of Police, Saidi Mwema, Attorney General Johnson Mwanyika and the Director of Public Prosecutions (DPP) Eliezer Feleshi.
 
As if this is news.

Hata mkimfukuza atajiendea Marekani kula raha na familia yake na mahela aliyokwisha kujichotea.

Bongo bwana, ukiiba/mzembe wanakufukuza tu. No wonder people dont stop............
 
As if this is news.
Bongo bwana, ukiiba/mzembe wanakufukuza tu. No wonder people dont stop............

Bongo hafukuzwi mtu bali mtu hun'gatuka......anaendelaa kula pension ambayo ni adimu kwa mfanyakazi aliyemenyeka kuijenga nchi yetu
 
As if this is news.

Hata mkimfukuza atajiendea Marekani kula raha na familia yake na mahela aliyokwisha kujichotea.

Bongo bwana, ukiiba/mzembe wanakufukuza tu. No wonder people dont stop............

Inaelekea umetumwa na mafisadi kuja kuwatetea hapa ukumbini, labda na wewe ni fisadi au unanufaika/ulinufaika na ufisadi unaofanywa nchini. Alishindwa kuona kasoro zozote katika mkataba wa Richmond na TANESCO ambao ulikuwa umejaa madudu yaliyowaangusha Lowassa, Msabaha na Karamagi lakini yote huyaoni hayo!!! Mafisadi bwana!! tafuta sehemu nyingine ya kuwatetea mafisadi, hapa hatutakupa nafasi hiyo.
 
Inaelekea umetumwa na mafisadi kuja kuwatetea hapa ukumbini, labda na wewe ni fisadi au unanufaika/ulinufaika na ufisadi unaofanywa nchini. Alishindwa kuona kasoro zozote katika mkataba wa Richmond na TANESCO ambao ulikuwa umejaa madudu yaliyowaangusha Lowassa, Msabaha na Karamagi lakini yote huyaoni hayo!!! Mafisadi bwana!! tafuta sehemu nyingine ya kuwatetea mafisadi, hapa hatutakupa nafasi hiyo.

Nahisi Mzee Bubu anataka kusema hujamwelewa Fair play, sidhani kama anatetea ila anaelezea jinsi uzembe ulivyo katika kuwajibisha wezi, hata wakiondolewa hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa kama kwa akina Lowasa and co......
 
is he on his way out to segerea maximum prison? or on his way out to luxury life having retired baada ya kuboronga?
 
Bubu: Nothing really surprising here because the guy is retiring and his contractual engagement is supposed to end this year anyway.
 
Kitila,

Bubu nadhani ana tatizo la kusoma katikati ya mistari.

KKiwango, usijali jamaa ameamua kula sahani moja na mimi bila kufikiri. ndo maana anaandika bila kuelewa. Nadhani umeliona hilo.

Thanks guys kwa kuelewa. Ni faraja kuona kuna at least watu kuna wanaofikiri humu.
 
Wakuu,

Hili nilishalisema wiki mbili zilizopita kwamba Hosea anastaafu,hawa jamaa wanandika kile tulichokisema.labda mnataka niwaambie ni nani atakuwa BOSi mpya wa PCCB?
 
Gembe,

Hawa jamaa wana copy mambo hapa wanaya paste kwao kisha wanapiga simu mbili tatu habari inakamilika.

FairPlayer
 
...Kwa mtindo huo hata huyo bosi mpya wa PCCB anaekuja msishangae nae akavurunda na kujichotea kiasi awezacho then anakula kona story inabaki ile ile...kwani nini huyu Hosea nae asipelekwe kwa pilato ili tujiridhishe kuwa ni fisadi au la!!!??
 
As if this is news.

Hata mkimfukuza atajiendea Marekani kula raha na familia yake na mahela aliyokwisha kujichotea.

Bongo bwana, ukiiba/mzembe wanakufukuza tu. No wonder people dont stop............

Hakuna anayesoma katikati ya mistari. Ulichoandika hapa kinaashiria kwamba unachoona wewe hata akifukuzwa kishachota zake nyingi tu za kumtosha hivyo ataendelea kula maraha US. Na pia ukasagia kwa kusema, "Bongo bwana, ukiiba/mzembe wanakufukuza tu." hebu tufafanulie hiyo sentesi ya mwisho ulimaanisha nini?
 
...Kwa mtindo huo hata huyo bosi mpya wa PCCB anaekuja msishangae nae akavurunda na kujichotea kiasi awezacho then anakula kona story inabaki ile ile...kwani nini huyu Hosea nae asipelekwe kwa pilato ili tujiridhishe kuwa ni fisadi au la!!!??

Hicho cha kumkamata Hosea ndicho kinatakiwa kifanywe, lakini watakwambia ni 'tajiri mkubwa huyo' akikamatwa nchi itawaka moto, basi anaachwa na kula mapesa yake ya kifisadi bila wasi wasi wowote wakati mamilioni ya Watanzania wanaishi maisha ya dhiki kubwa.
 
Ndivyo nami nilivyomuelewa, kwamba pension hii mfanyakazi wa kawaida si rahisi kuipata, na akiipata atakuwa ameitolea jasho kweli kweli, lakini kwa mafisadi kama huyu bwana anayeng'atuka si tatizo.
 
huyu hivi ni mchaga wa pai vile?
Machame au rombo?
aliwekwa na Mramba au Mrema?
au na mama mkapa?
 
huyu hivi ni mchaga wa pai vile?
Machame au rombo?
aliwekwa na Mramba au Mrema?
au na mama mkapa?

Dr. Hoseah ni Msukuma wa Bariadi au kwa maana nyingine ni anazungumza lugha moja na Mzee Mwanakijiji .alichaguliwa na Jakaya Kikwete,Kabla ya kuwa hapo alikuwa Mkurugenzi wa Upelelzi pale PCCB,ana uzoefu wa Muda mrefu katika masuala yanaohusu upelelezi na mambo ya usalama
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom