Embassy Hotel yaanza kukarabatiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Embassy Hotel yaanza kukarabatiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kazikubwa, Aug 24, 2012.

 1. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hoteli ya Embassy ambayo ipo posta jijini Dar imeshazungushiwa uzio kama dalili ya mabadiliko fulani. Hoteli hii ilikuwa sokoni kitambo tu. Mwenye habari atujuze kinachoendelea kuhusu mmiliki na je watavunja na kuweka SKY Mark au ndiyo yale mabox yanapigwa rangi tena?
   
 2. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Duh, Kwakweli nimesikitika sana. Nilkua naiwinda sana hii hoteli niinunue. Lakini walificha sana kuhusu mauzo yake. I hope that alieipata ataifanyia kazi pasavyo. Namtakia mema na Mungu amsaidie
   
Loading...