eMALALAMIKO: Mfumo huu wa kuwasilisha malalamiko serikalini utatekeleza majukumu kusudiwa?

Hii obsession na pongezi imekuwa tamaduni yetu
Tutizame eneo la malalamiko kama pongezi na obsession havina Tija kwetu. Ingawa wakati mwingine hizo ni motisha kwa watendaji wa serikali.
 
Uhuni tu kuoneokana wanawafikia watz ili kuwapa huduma bora ila wote tunajua mifumo hii ilivyonachangamoto pia hao utakao kuwa unAongea nao ndofunza Wale wale majalalani.
 
Iko sehemu ambayo inakuruhusu kutuma bila kutambulika wewe ni nani, so unatupa bomu lako then unasepa unawaacha wanahangaika lkn upande wako umewapa ukweli
Ni danganya toto tu, kwenye tehama hamnaga true privacy and anonymity.
 
Back
Top Bottom