Email kutoka Kwa recruitments agency

steve111

Member
May 29, 2015
91
58
Habar ya kazi wakuu,
Nimepata email kutoka kwa recruitment agency wakinidai niwatumie doc zangu sasa sijui kama kunamtu humu jamvini Alisha wao kupata email kama hii hapa chini au ni wababaishaji tuu.
 

Attachments

  • IMG_3314.PNG
    IMG_3314.PNG
    26.4 KB · Views: 63
  • IMG_3315.PNG
    IMG_3315.PNG
    28.7 KB · Views: 33
  • IMG_3316.PNG
    IMG_3316.PNG
    20.8 KB · Views: 34
Mkuu kwani ukiwatumia unapungukiwa na nini wewe.

Wewe tuma tu, nikawaida sana hiyo kama unafanya online applications.
 
Back
Top Bottom