Kudasai
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 204
- 231
Salaam kwenu wajuvi wa high technology! Mimi ninatumia gmail kwa muda usiopungua miaka 8. Nimetumiwa email kutoka gmail (verified) ikiniambia kuwa account yangu inafungwa mwishoni mwa March 2019. Sababu kubwa ya kuifunga Ni matumizi madogo ya account (low account use) yaani wao walinipa 15GB lakini mpaka sasa sijafikisha hata 3 GB! Je, Kuna yeyote aliyewahi kupata hii kadhia? Msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app