Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

Status
Not open for further replies.
Aisee sijapata kuona mkaka ana roho mbya kama huyu daaah just imagine mtu unafanyishwa intervieww ngumu for 40min maswali magumu haijapata kutokeaa unapass,

.
.second interview inakuwa ya skype unafanyiwa na wahindi jaman wanaukiza maswali vizuri saaana yaan wako vizuri mpka unaenjoy

Inteview ya mwisho ndo face to face with hiring manager ndo unakutana na huyo bazazi Elvis mkaka ana majivuno,ana maswali ya dharau,imagine hakuulizi swali lolote linalolohusina na interview hata kwenye job description hamna bora hata yangekuwa ni.maswali ya technical skills .....and hili swala sio mimi tu watu kibao wanakukalalamikiaa,una maswali ya kimama saana we mkaka
.
.alafu anajikuutaga alistair ni ya kwao while naye kaajiriwa kama watu wengine wenye kampuni wapo fair na wanaongea vizuri ila ww mkaka nilitamni kukutemea makohozi shame on you ....kampuni ya mzungu sio ya kwenu!
Atakuwa mjumbe wa LBGT
 
Head wa department husika ndo huwa anaamua Nani anafaa Kati ya mlioenda kwenye usaili, HR kazi yake n kukuweka ukae kwenye mkao tuu.

Maswali ambayo hayapo kwenye JD ndohuwa humoa mtu Kaz, hvyo ukienda interview kutegemea maswali ya position unayoitaka utarud unalaumu tuu Kama position sio entry level Basi tegemea ukikutana na HR maswali yake n nje ya box Bora Hawa bongohaya kutana na kitu Jaluo au kikuyu Tena wawe na mtu wanaemtaka nawewe sio chaguo lao wewe upo tuu kukamikisha usaili.

Utajuta kutumia nauli na pesa ya kulala.
 
Hawa Alistair Group kuna nafasi za Operation Lead/Cynide na Handling of Dangerous Goods kipindi cha nyuma niliona Kama wamerudia kuzitangaza nafasi.

Saizi wakiweka Tangazo ni kuzamia hata Kama wao ni meli ya sumu, interview hata wakiwaleta Alliens, kukata tamaa ni mwiko.
 
Status
Not open for further replies.
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom