Elon Musk net worth 300B $ Idadi ya watu duniani 7.6B

Tyrone Kaijage

JF-Expert Member
Jul 19, 2021
1,609
3,341
Mfano jamaa akitoa msaada kwa kila mtu wealth ya 1B $ bado atakuwa tajiri namba moja duniani na wewe hali uliyonayo utabaki nayo hivyo hivyo kwa kuwa tutakuwa tume add 1 kwa kila mtu .

IMG_8257.jpg
 
Bongo walimu wengii, usiombe ukosee, utapewa za uso halafu hakuna hata aliyejaribu kurekebisha au kuonesha ilitakiwa hesabu iweje. Nchi ngumu sana hii....

Kwa hiyo ilitakiwa iwe hivi

300$ B / 7.6 B au sio? Enhee!?
 
Unapata kama Dola 39.47!Kama 90,000/ na ushee!Huo ushee ukimrudishia mwenyewe anakuwa na Trillion 6 TSH!
 
Back
Top Bottom