Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,677
- 9,035
6B hata Mo na bakhresa hawana$b6
Nyie mabilionea wetu bongo mmesikia hiyo
Ova
6B hata Mo na bakhresa hawana$b6
Nyie mabilionea wetu bongo mmesikia hiyo
Ova
Ukoo wake upo wapiYule ustaadh alikua na utajiri wa 400B usd, mpe heshima yake...
... umenikumbusha nyimbo moja ya zamani ikiimbwa "messenger ameleta balaa nyumbani kwa meneja"! Ukiwa mtu wa chini (karani) na mambo yako yanakuwa ya dizaini hiyo (kupeleka mabalaa majumbani mwa watu)! Shida ni namna ya kutoka hapo kwenye "vicious circle"!Jamaa ana mambo mengi sana mara Space X mara gari za umeme mara boring company mara artificial intelligence mara degocoin.......
sasa mm najiuliza na kazi yangu ya ukarani
mshahara mmoja.........
Hv naishi ulimwengu mmoja na huyu jamaa!!?
😂😂kwamba dini hazitaki kuovertekiwa kwenye pesaMansa Musa ni kama Sulemani wa biblia...Walikuwa na hela kipindi chao lakini hamna mtu mwenye ushahidi wa thamani ya utajiri wao,,,kwahyo figure kama 400B ni makadirio tu ya mashekhe na usishangae elon akifika huko wakasema Mansa Mussa alikuwa na 1 trillion
Do you mind me kurepeat jamaa ni atheist? mkuu acha kupangia watu nini cha kucomment aisee au ulitaka awe mfia dini kama wewe ndio ufurahi?.kwani ni wapi biblia imesema mpumbavu hawezi pata Mali?.
Bible imesema wakana Mungu ni wapumbavu haijasema wakana Mungu hawata kuwa na Mali.
Mme wa Abigaili alikuwa na Mali nyingi ila Abigaili huyo huyo alimuita Mme wake mpumbavu mbele ya Daud.
Alafu, mbona inshu ya jamaa kuwa Atheist umeikomalia sana? kila ikikoment"jamaa ni atheist!! ".
itakuwa na wewe ni atheist, tuambie, unanini?
ni wapi nimekupangia cha kuandika? ukuona alama ya kuuliza kwenye comment yangu?.Do you mind me kurepeat jamaa ni atheist? mkuu acha kupangia watu nini cha kucomment aisee au ulitaka awe mfia dini kama wewe ndio ufurahi?.
Mimi haijalishi ni atheist au sio atheist sababu it's non of your business lakini kuhusu mimi nina nini jibu ni nina kichwa na ubongo mkubwa ndani yake pia sio mfia dini.
Ndio ni atheist na nimerudia na kuikomalia makusudi ili wafia dini msilete fix za "mungu kambariki" na fairy tales nyingine.
Elon anasema yeye anafanya kazi masaa 14 kwa kila siku, 7 days a week, ni yeye na akili yake bila msaada wa yoyote.
Then mfia dini mmoja anatoka huko anakuja na story za mungu kambariki, yaani unaficha juhudi za mtu mwingine na kumpa mwingine. kwanini asikubariki na wewe goddamnit?
Pia mimi sijarefer kitabu chochote cha dini bali nimesema kwa "tafsiri ya wafuasi wa dini" so you better stop tripping yourself.
Wafuasi wa dini na vitabu vyao wanasema kila kitu kinapewa na mungu, na atakayeomba ndio atakayepewa.
Huyu genius haamini mungu wala uwepo wake achana kumuomba tu.
Sasa hizo mali amempa nani?
Wewe unaomba kila siku kwa mungu wako na bado haujafikia level ya huyo genius ambaye mnamuita mpumbavu.
Yaani mungu anaacha kuwapa nyie mnaomuomba, mnaokesha na kumpa sadaka, anaenda kumpa mtu ambaye wala hamuamini, hamuombi, hajui, wala hajali kuhusu uwepo wake?
especially ni mtu ambaye amempa cheo cha "mpumbavu".
Mpaka hapo hauoni kwamba huyo mungu anajipinga mwenyewe na hana haki wala fair?
Kwapesa yetu yamadafu huyu ni tirioneaAkifikisha thamani ya US$ tirioni 1 ndiyo ataitwa tirionea.
Kwa sasa bado ni bilionea kwani thamani yake ni US$ 300 bilioni.
Kwa sarafu yetu,matirionea tunao hata hapa bongo.Kwapesa yetu yamadafu huyu ni tirionea
Hii haihusiani na kukereka, kukereka ni mambo ya wanawake.ni wapi nimekupangia cha kuandika? ukuona alama ya kuuliza kwenye comment yangu?.
na mfia dini akisema :, Mungu kambariki huyo jamaa"wewe unakereka vipi?.
ikiwa utaki kupangiwa at the same time unataka wafia dini wasitoe komenti zao kwa mirengo ya dini na imani zao, hiyo inakuwa na maana gani?
au unataka kusema Max mello kakupa wewe kinga ya kutopangiwa cha kukoment ila wafia dini hawana hiyo kinga?
Una uhakika na hili? Kwani huo utajiri wamepewa "Atheists" tu? Na umasikini wamepewa "Wafia dini" tu? Maana nikisoma andiko lako naona ni kama unahitimisha hivyo.Yaani mungu anaacha kuwapa nyie mnaomuomba, mnaokesha na kumpa sadaka, anaenda kumpa mtu ambaye wala hamuamini, hamuombi, hajui, wala hajali kuhusu uwepo wake?
Kwa Imani yangu Mimi (Uislam), Mungu humpa yoyote amtakaye katika maisha ya Dunia bila kujali ni Muumini au sio Muumini kwa Hikma yake. Ndio maana "Atheist" Elon Musk amepewa kama walivyopewa baadhi ya "Wafia dini", wakapewa na baadhi ya wasio "Atheists" wala wasio "Wafia dini", wakanyimwa baadhi ya "Wafia dini" kama walivyonyimwa baadhi ya "Atheists".Ndio ni atheist na nimerudia na kuikomalia makusudi ili wafia dini msilete fix za "mungu kambariki" na fairy tales nyingine.
Punguza jazba mdogo wangu. Kwani unamjua katika maisha halisi nje ya JF huyo Member unayemuambia hivyo? Una uhakika hajabarikiwa? Yaonesha kana kwamba unamjua vizuri!Elon anasema yeye anafanya kazi masaa 14 kwa kila siku, 7 days a week, ni yeye na akili yake bila msaada wa yoyote.
Then mfia dini mmoja anatoka huko anakuja na story za mungu kambariki, yaani unaficha juhudi za mtu mwingine na kumpa mwingine. kwanini asikubariki na wewe goddamnit?
Mimi ni Mfuasi wa Dini (Muislam). Unapata wapi ujasiri wa kunisemea? Ni wapi sisi Waislam tumesema Mungu hawapi neema Wapumbavu? Au mtu akiwa muovu hapewi katika maisha ya hapa duniani? Wapi tunasema hilo?Pia mimi sijarefer kitabu chochote cha dini bali nimesema kwa "tafsiri ya wafuasi wa dini" so you better stop tripping yourself.
Wafuasi wa dini ipi? Katika hizo dini na Uislam upo? Katika hivyo vitabu na Qur'an ipo na vitabu vilivyoandika Sunnah na Athar?Wafuasi wa dini na vitabu vyao wanasema kila kitu kinapewa na mungu, na atakayeomba ndio atakayepewa.
Huyu genius haamini mungu wala uwepo wake achana kumuomba tu.
Sasa hizo mali amempa nani?
Kwa Imani yetu sisi Waislam, Muumin anaweza kuomba jambo kisha akajibiwa kwa kilicho bora zaidi, yaani asipewe kile kile alichokiomba akapewa kikubwa zaidi kwa Hikma ya Allah mwenyewe, au akapewa kile kile muda ule ule, au akapewa kile kile lakini sio muda ule ule, au ikatumika kumuepusha na shari kubwa zaidi. Na huyo "genius" kupewa wala halishangazi. Wewe inakushangaza? Kwanini?Wewe unaomba kila siku kwa mungu wako na bado haujafikia level ya huyo genius ambaye mnamuita mpumbavu.
Allah akuongoze katika njia iliyonyooka mdogo wangu. Atuongoze na sisi.Mpaka hapo hauoni kwamba huyo mungu anajipinga mwenyewe na hana haki wala fair?
Kwani ukiachilia gold na ndovu Mansa Khan mussa alikuwa na biashara gani nyingine..? Maana utajiri wa 400b USD si masikhara..Yule ustaadh alikua na utajiri wa 400B usd, mpe heshima yake...
[Una uhakika na hili? Kwani huo utajiri wamepewa "Atheists" tu? Na umasikini wamepewa "Wafia dini" tu? Maana nikisoma andiko lako naona ni kama unahitimisha hivyo.]Una uhakika na hili? Kwani huo utajiri wamepewa "Atheists" tu? Na umasikini wamepewa "Wafia dini" tu? Maana nikisoma andiko lako naona ni kama unahitimisha hivyo.
Kwa Imani yangu Mimi (Uislam), Mungu humpa yoyote amtakaye katika maisha ya Dunia bila kujali ni Muumini au sio Muumini kwa Hikma yake. Ndio maana "Atheist" Elon Musk amepewa kama walivyopewa baadhi ya "Wafia dini", wakapewa na baadhi ya wasio "Atheists" wala wasio "Wafia dini", wakanyimwa baadhi ya "Wafia dini" kama walivyonyimwa baadhi ya "Atheists".
Punguza jazba mdogo wangu. Kwani unamjua katika maisha halisi nje ya JF huyo Member unayemuambia hivyo? Una uhakika hajabarikiwa? Yaonesha kana kwamba unamjua vizuri!
Kwani "Wafia dini" hawabarikiwi? Na je, hakuna anayefanya kazi kwa bidii kwa saa 14 au zaidi kama au kuliko Elon?
Mimi ni Mfuasi wa Dini (Muislam). Unapata wapi ujasiri wa kunisemea? Ni wapi sisi Waislam tumesema Mungu hawapi neema Wapumbavu? Au mtu akiwa muovu hapewi katika maisha ya hapa duniani? Wapi tunasema hilo?
Wafuasi wa dini ipi? Katika hizo dini na Uislam upo? Katika hivyo vitabu na Qur'an ipo na vitabu vilivyoandika Sunnah na Athar?
Naam, Mungu ndie huwapa viumbe vyake hapa duniani kwa Hikma yake.
Atakayeomba ndie atakayepewa, hiyo umeitoa wapi? Kwahiyo asieomba hapewi? Hebu nioneshe katika vitabu vya dini yangu Uislam nione, maana wewe waijua sana dini yangu ya Uislam.
Huyo "genius " asiyeamini uwepo wa mungu, una uhakika hawezi kumuomba Mungu hasa anapokuwa na shida kubwa? Una uhakika kuwa "Atheists" hawamuombi kabisa Mungu?
Elon Musk, CEO of SpaceX, said he prayed for the Dragon spacecraft upon launching, despite not being religious. Musk’s space achievements are certainly something to marvel at, but Musk’s recognition of prayer isn’t something to skip over, either.
“You know, I’m not very religious, but I prayed for this one,” Musk said after the landing of the Dragon back on Earth on August 2, 2020.
Elon Musk Surrenders to the Power of Prayer During Latest Project
"You know, I’m not very religious, but I prayed for this one,” Musk said after the landing of the Dragon back on Earth on August 2, 2020...www.movieguide.org
Nikisema wewe ni muongo nitakuwa nakusingizia mdogo wangu? Sasa unazijua siri zake zote Elon? Una uhakika kwamba huwa haombi kabisa? Na hata kama angekuwa haombi, kwani asiyeomba hapewi? Umetoa wapi hiyo?
Kwa Imani yetu sisi Waislam, Muumin anaweza kuomba jambo kisha akajibiwa kwa kilicho bora zaidi, yaani asipewe kile kile alichokiomba akapewa kikubwa zaidi kwa Hikma ya Allah mwenyewe, au akapewa kile kile muda ule ule, au akapewa kile kile lakini sio muda ule ule, au ikatumika kumuepusha na shari kubwa zaidi. Na huyo "genius" kupewa wala halishangazi. Wewe inakushangaza? Kwanini?
Allah akuongoze katika njia iliyonyooka mdogo wangu. Atuongoze na sisi.
Na Allah anajua zaidi.
Chumvi mkuu, yaan alikua masterminder wa biashara ya chumviKwani ukiachilia gold na ndovu Manda mussa alikuwa na biashara gani nyingine..? Maana utajiri wa 400b USD si masikhara..
Chumvi ndo ilikuwa dhahabu ya enzi izo..Chumvi mkuu, yaan alikua masterminder wa biashara ya chumvi
Hata bank huwa zinakuwa kwenye maandhishi mkuuHizo USD Bilioni 302 anazo kwenye akaunti yake benki au kwenye maandishi tu?
Ningekuwa na hii pesa ningechukua mtoto mmoja mzuri sanaaa tungeenda kuishi zetu visiwa flani huko ni kula maisha tuHtr
Hatari
Ova