Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,041
Elon Musk alimfuata DM dogo wa miaka 19 twitter ambaye ametengeneza bot yenye jina la ElonJet na bots nyingine zinazofuatilia location za matajiri.
Alimuuliza hizo bot zinamwingizia kiasi gani, dogo akasema kama $20 tu kwa mwezi, Elon Musk akampa offer ya 5000$ ili afute account ya bot inayomfuatilia kwasababu anaona ni kama ina affect usalama wake.
Dogo akasema labda ampe $50000 ili aweze kununua gari la tesla na abaki ni change kidogo ya kulipia masomo yake.
Elon akasema ngoja afikirie kuhusu hilo na baada ya hapo akawa kimya.