Elon Musk anaongoza kwa utajiri duniani. Utajiri wake ni wa kutisha

Mkuu Dunia ina shift kutoka kwenye raw materiao na kwenda kwenye Informations zaidi, Kipindi cha nyuma miaka kama 10 na nyuma, makamouni ya nishati kama Bp, wakina Total, wakina Exon Mobile, and alike ndo walikuwa wana tisha Dunia kwa ukwasi, leo hii hata top 20 hawapo tena.

Sisi bado mfano tunaendelea kuamishwa tuna Mali asili nyingi, mambo ya Mali asili yanaanza kupitwa na wakati sana kwa sababu ndo mali za kwanza kabisa wakati Dunia Inaimbwa.

Leo hii mfano kuna Almasi inazalishwa Maabara iko sawa kwa asilimia 100 na ile inayo chimbwa, so miaka michache tu kuanzia sasa migodo ya almasi haitakuw na kazi tena.

Tulichelewa sana kuvuna Mali asili zetu na kuzitumia vilivyo kwa sasa anaelekea kuwa too late
Huu ni ukweli unaouma
 
Mzuka wanajamvi!

Elon Musk ni tajiri namba moja sasa hivi duniani baada ya kumpita Jeff Beezos wa Amazon na utajiri wake ni wa kutisha ambao ni zaidi ya utajiri wa Bill Gates (4) na Warren Buffet (9) ukiunganishwa pamoja. Bill Gates ni number 4 na Buffet ni number 9 kwa utajiri duniani.

Elon Musk ambae ni muanzilishi wa Tesla na SpaceX amejikuta anakuwa na utajiri wa kutisha baada za hisa za makampuni yake kupaa kwa 33% na kuuza kwa dollars za Marekani Billion 100.

View attachment 1977916

Cha kushangaza mwaka jana kama sasa hivi Elon Musk hakuwepo top ten ya billionaire na wakati huo Jeff Beezos aliongoza sana akiwa na 113 billion dollars.

Magari ya Tesla sasa hivi yanauzika kama Njugu hadi Uingereza, China na Ujerumani Tesla imeongoza kwa mauzo miezi mitatu mfululizo toka mwezi wa saba.

Soma zaidi kwa Kiingereza kwa kubofya hapo chini.

Nakuaje hapo namba 5 na 6

Namba tano ana $116 namba 6 ana $ 125 au ndio typing error ?
 
mfikirie mtu mmoja mfano huyo jamaa wa facebook ndiye mmiliki wa whatsap pia...kwa siku anaingiza shillingi ngapi ulimwenguni, naamini zaidi ya 50%ya wakazi wa dunia tunamchangia hela kwa siku....

Mafuta haiwezekani mmiliki wa kisima kimoja akatupa mafuta dunia nzima, pata logic hapo.. mtu mwenye kisima Z saudia anachangiwa na watu wangapi duniani kwa siku vs huyo wa facebook..?
Point Mujarrabu Hii..ningekua na dada Ungekua shemeji yangu.
 
halafu unakuta kuna popoma mmoja anakutana na jamaa anaomba picha

mimi kitu ntaomba ni just $10000.
 
Inauma Kwelikweli🤣🤣🤣
Yaan umenichamba bila tafsidaa kweli
1635329618705.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom