Elon Musk anaongoza kwa utajiri duniani. Utajiri wake ni wa kutisha

Mzuka wanajamvi!

Elon Musk ni tajiri namba moja sasa hivi duniani baada ya kumpita Jeff Beezos wa Amazon na utajiri wake ni wa kutisha ambao ni zaidi ya utajiri wa Bill Gates (4) na Warren Buffet (9) ukiunganishwa pamoja. Bill Gates ni number 4 na Buffet ni number 9 kwa utajiri duniani.

Elon Musk ambae ni muanzilishi wa Tesla na SpaceX amejikuta anakuwa na utajiri wa kutisha baada za hisa za makampuni yake kupaa kwa 33% na kuuza kwa dollars za Marekani Billion 100.View attachment 1977916

Cha kushangaza mwaka jana kama sasa hivi Elon Musk hakuwepo top ten ya billionaire na wakati huo Jeff Beezos aliongoza sana akiwa na 113 billion dollars.

Magari ya Tesla sasa hivi yanauzika kama Njugu hadi Uingereza, China na Ujerumani Tesla imeongoza kwa mauzo miezi mitatu mfululizo toka mwezi wa saba.

Soma zaidi kwa Kiingereza kwa kubofya hapo chini.

Kivipi tajiri wa 6, 7 na 8 anamzidi hela tajiri wa 5?
Au mimi ndio sijui hebu wadau nisaidieni.
 
Mkuu hivi inawezekana je technolojia izidi hela mafuta. Bado hii kitu inanishangaza kwasababu mafuta siyo mchezo.
Kwani viwanda vya uzalishaji/kusafisha Mafuta havitumii Umeme? Apo ndio utajua kati ya Mafuta na Umeme kipi ni Bab Kubwa

Mafuta ni Material ya kale sio leo tena, na kwa Dunia inavokwenda,.yanaenda kuwa sio Big deal

Ila imeme ni kitu cha kidigitali na unaenda kuchukua nafasi zote katika Mahitaji ya Mwanaadam ya kila siku
 
Mkuu hivi inawezekana je technolojia izidi hela mafuta. Bado hii kitu inanishangaza kwasababu mafuta siyo mchezo.
Mkuu mafuta ndo utajiri wa dunia ni vile wa marekani hawa waingizi waarabu kwenye izi issue za matajirii...kigezo chao namba moja wanasema waarabu wamerithi uo utajiri hawajautafuta,..lait wangekua wanaingizwa kwenye izii record nadhani wangeshika namba 1 paka 100 wote waarabuu....
Waarabu ni nyooko saana kwenye utajirii mkuu...
 
mfikirie mtu mmoja mfano huyo jamaa wa facebook ndiye mmiliki wa whatsap pia...kwa siku anaingiza shillingi ngapi ulimwenguni, naamini zaidi ya 50%ya wakazi wa dunia tunamchangia hela kwa siku....

Mafuta haiwezekani mmiliki wa kisima kimoja akatupa mafuta dunia nzima, pata logic hapo.. mtu mwenye kisima Z saudia anachangiwa na watu wangapi duniani kwa siku vs huyo wa facebook..?
 
Mzuka wanajamvi!

Elon Musk ni tajiri namba moja sasa hivi duniani baada ya kumpita Jeff Beezos wa Amazon na utajiri wake ni wa kutisha ambao ni zaidi ya utajiri wa Bill Gates (4) na Warren Buffet (9) ukiunganishwa pamoja. Bill Gates ni number 4 na Buffet ni number 9 kwa utajiri duniani.

Elon Musk ambae ni muanzilishi wa Tesla na SpaceX amejikuta anakuwa na utajiri wa kutisha baada za hisa za makampuni yake kupaa kwa 33% na kuuza kwa dollars za Marekani Billion 100.

View attachment 1977916

Cha kushangaza mwaka jana kama sasa hivi Elon Musk hakuwepo top ten ya billionaire na wakati huo Jeff Beezos aliongoza sana akiwa na 113 billion dollars.

Magari ya Tesla sasa hivi yanauzika kama Njugu hadi Uingereza, China na Ujerumani Tesla imeongoza kwa mauzo miezi mitatu mfululizo toka mwezi wa saba.

Soma zaidi kwa Kiingereza kwa kubofya hapo chini.

Huyu mukesh ambani ndio yule mmiliki wa tata ama
 
How the hell does one man have 100 billion dollars and we still have people on the street that are broke?

Dax
Na watu wanashangilia ni kama ligi vile binadamu hatupaswi kuwa na ubinafsi kiasi hicho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom