Elly Kingu utaificha wapi sura yako?

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
Kaka yangu wakati wafanyakazi wanalia na kikokotoo wewe ulikuja na hoja zako za kutetea ugali wako. Rejea

Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe! - JamiiForums

Wakati wewe ukijua kuwa unachukua mafao yako asilimia mia wewe ukakurupuka kuja kutetea watumishi kupunjwa mafao yao na ukapinga vikali kuwepo kwa fao la kujitoa kwa madai kuwa fao hilo linarudisha nyuma juhudi za Raisi kwenye Viwanda

Sasa leo kweupe umeumbuliwa na Raisi Magufuli, ifike mahali wabunge muache njaa na kujisahau, umeshashiba nnje una v8 kali na jumba la kifahari mixer shopping za Dubai, tayari ushasahau ulipotoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliijua movie nzima ndio maana alitucheka wastaafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahangaika na watu wasio na aibu wala principle asiyeona shida kumsifia Rais kwa usikivu na akawa na amani
 
Kaka yangu wakati wafanyakazi wanalia na kikokotoo wewe ulikuja na hoja zako za kutetea ugali wako. Rejea

Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe! - JamiiForums

Wakati wewe ukijua kuwa unachukua mafao yako asilimia mia wewe ukakurupuka kuja kutetea watumishi kupunjwa mafao yao na ukapinga vikali kuwepo kwa fao la kujitoa kwa madai kuwa fao hilo linarudisha nyuma juhudi za Raisi kwenye Viwanda

Sasa leo kweupe umeumbuliwa na Raisi Magufuli, ifike mahali wabunge muache njaa na kujisahau, umeshashiba nnje una v8 kali na jumba la kifahari mixer shopping za Dubai, tayari ushasahau ulipotoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbunge wa totooz
 
Wabunge wa sisiemu wapo kwa ajili ya matumbo yao si kwa raia wa nchi hii. Huwa najiuliza wanapopitisha sheria mbovu sijui huwa wanapitisha kwa manuafaa ya nani? Eti tusipeleke madawa jimbo fulani kwa kuwa mbunge ni upinzani je sisiemu wenzako waliopo pale huhisi kwamba nao wanataabika sababu ya ujuha wenu she**zi zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anataka uwaziri ana madeni kila kona! Kakopa mshahara wooooteeee! Msameheni tu bure! Tunaomjua tunamchora tu mitandaoni ..bwana yesu nyingi hana lolote!
 
Kitu ambacho hawa vijana wa ccm wamejaliwa hawana sura za aibu sasa hivi mtayaona yanavyopongeza njaa sio mchezo

Back
Top Bottom