pamoja na wasusi wa saloon sinzaacha ujinga wewe jamaa, mambo haya wanatakiwa wajadili dada zako na watoto wa shule za kata.
Inabidi atafute mtu wakawaida ila ye anataka master bata analokula maunivu ndo kama hayo huwez kwepa shida~Lulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza...
~Kanumba alivuta.
~Kapteni k naye akavuta.
~Majizo naye anaozea selo...
~Lulu ana nini Lulu??
Gwajima ndani ya list ujue mkuuMhh, kuna wanawake wengine wanahitaji kusafishwa nyota zao. Na hata kuwaona kina Gwajima kutamsaidia. Inavyoonekana kama vile ana nuksi inayomuandama. Hata hivyo namuhurumia sana, ule msala wa Kanumba bado unaendelea haujaisha. Pole sana Lulu
Mhh, basi walau amtafute Mzee wa UpakoGwajima ndani ya list ujue mkuu
Mzee wa upako kadai aliwahi kutuhumiwa pia na mpaka sasa ni red penMhh, basi walau amtafute Mzee wa Upako
hahahaaa aende kwa mzee wa "kamata chini, kamatia chini"Mhh, basi walau amtafute Mzee wa Upako
Acha ujinga wewe...wanaosoma shule za kata wanaingiaje hapa...haya wewe uliosoma havard ukitembea unapaa...au unakiandika mbona hakioneshi kua ww ni wa havard..acha ujinga wewe jamaa, mambo haya wanatakiwa wajadili dada zako na watoto wa shule za kata.
~Lulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza...
~Kanumba alivuta.
~Kapteni k naye akavuta.
~Majizo naye anaozea selo...
~Lulu ana nini Lulu??
Richard Abraham. Hayo ni mambo ya kina mama wauza mandazi Vingunguti. Mtoto wa kiume ongelea jinsi ya kuongeza kipato. Msxcghh wewe~Lulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza...
~Kanumba alivuta.
~Kapteni k naye akavuta.
~Majizo naye anaozea selo...
~Lulu ana nini Lulu??