Elizabeth Michael(Lulu) akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, ahukumiwa kwenda jela miaka 2

Fair to both sides, Lulu bado mdogo sana, miaka 2 yamaanisha mwaka 1 tu kama hatafanya makosa kifungoni, atumikie kifungo arudi uraini kutengeneza pesa, ila atulie naye, haya mambo duniani ukienda kasi ya F1 lazima unyooshwe urudi kwenye mstari, kama una bahati, kama huna unafia kule..
 
Ni kuwasamehe tu maana hawajui yao kesho ni sawa na kumcheka mgonjwa au mfungwa
 
Kuna fundisho la kuua bila kukusudia?
Kuua bila kukusudia ina maana ni bahati mbaya, kuna fundisho la kukwepa bahati mbaya?
Nafikiri hiyo ilitikana na mfumo wa maisha aliyokuwa anaishi!
Fundisho la kubadili staili ya maisha
 
Pole my dear Lulu. Mungu akutunze, umehukumiwa hukumu ambayo wengi anatuuma. Mtu alikuita kumsaidia kuigiza, baadaye akakutaka kimspenzi na kukusababishia Hilo
 
Kijana mbona unaongea kwa hasira badala ya kuelimisha? umejawa na muhemuko wa kustaajabu yaliyotokea kwa Lulu kuliko case yenyewe.. Kwa kuwa unafahamu kuwa humu wengi ni mbumbu kuliko wewe jaji wa Mahakama kuu ulipashwa kuwaeleimisha ili wajue jinsi aina hizi za case zinavyoendeshwa na hukumu zake zinavyotolewa kuliko aina ya kuwashwashwa ulionao.. Teach, educate and share your experiencess..
Bush lawyer hapo aliposema murder case hukumu ni kifo tu haina mbadala ndio nimeona hana tofauti na anayemponda
 
Ataachaje wakati hataki weusi na ujana wanautaka
Yaaan...nimemsogelea karibu, hapana asee, sura imechoka mikorogo, uwii na munalove nae sura hazitaki mikorogo uwiii yaaan....camera zinawabeba asee bora ake hata Sinta mkorogo umemkubali
 
Binadam bhana ukute mama yake amelia kisa source ya income imewekwa flange!
 
Ukisoma thread ndio utaweza kumuonea huruma Mheshimiwa Rais, ni kwamba anatawala maiti.

Manslaughter adhabu yake ni kifungo cha maisha, mbumbumbu kama wewe huwezi kujuwa leo hii wakili alipambana vipi mpaka mteja wake kupewa adhabu ndogo kama hii.

Watanzania IQ zao zinasikitisha, Rais hawezi kutimiza ndoto zake kwakuwa na idadi ya raia mambumbumbu kiasi hiki.

Namuonea huruma Mr President.
Manslaughter ni seven years mkuu
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom