Elizabeth michael aka Lulu ahukumiwa jela miaka miwili

Changudoa anayeua watu bila kukusudia ingependeza kama angepigwa angalau miaka 25 akitoka angekuwa na akili timamu!! Inaudhi sana pale anapomwonyesha mama wa marehemu dharau ya wazi! Pumbav kabisa
 
Pole dada Lulu, hakika washibiki wako watakumiss sana kwa kipindi hiki. Kila suala lina mwanzo na mwisho. Miaka miwili ni kama Siku moja mbele za MUNGU.
 
Aiseh but ashukuru Mungu maana nilipitia Uzi flani humu hii kesi ingeweza mbeba had miaka 10 au 15
Ashukuru sana Mungu! Kuna mtu aliweka kesi ya hivyo humu nikaogopa. Mungu amemsaidia sana na bahati nzuri sentensing ni discretion ya judge unless....... wanasheria wanajua
 
Naomba kuuliza miaka miwili maana ake wanahesabu usiku na mchana au 2019 ndo tatoka huko Maana mtu moja kaniambia atatoka mwaka kesho miezi km hiii
Miaka miwili inahesabiwa kawaida na siyo usiku na mchana,bali nijuavyo wafungwa wanapata remision au punguzo ya One third kila mwezi...yaani akifungwa mwezi mmoja atakaa jela siku 20.kwa hiyo huyu binti atakaa jela miezi 16 na siyo 24.
Niko tayari kusahihishwa.
 
f5b0c2f2c99d2fe56bd9f2260e9f7440.jpg
 
Changudoa anayeua watu bila kukusudia ingependeza kama angepigwa angalau miaka 25 akitoka angekuwa na akili timamu!! Inaudhi sana pale anapomwonyesha mama wa marehemu dharau ya wazi! Pumbav kabisa
Hapa ndipo kilipokosea hiki kitoto...

Kina dharau Kama nn
Changudoa anayeua watu bila kukusudia ingependeza kama angepigwa angalau miaka 25 akitoka angekuwa na akili timamu!! Inaudhi sana pale anapomwonyesha mama wa marehemu dharau ya wazi! Pumbav kabisa

Changudoa anayeua watu bila kukusudia ingependeza kama angepigwa angalau miaka 25 akitoka angekuwa na akili timamu!! Inaudhi sana pale anapomwonyesha mama wa marehemu dharau ya wazi! Pumbav kabisa
 
By @idrissultan - Dear Kanumba, Najua ulikua hunijui ila nilitembea kwa miguu kutoka mbezi kimara mpaka kinondoni kuja kukuzika. Ni mda mrefu sana umekua ukitembea na sisi kuomba upumzishwe, sasa naamini utapumzika kabisa. Allah akufanyie wepesi na milele utabaki mioyoni mwetu. Tulifunga njia, kazi na hata kuhema vizuri wengine tulishindwa na tukapata depression kubwa sanaaaa yote kwasababu ulitugusa katika mfano usioelezeka. Naamini haki yako sasa imepatikana na namuombea sana mama yako apewe nguvu na amani ya moyo. Finally Rested. Ni mimi wako katika matumaini ya urithi wa ufalme wa movie Tanzania, Idris Sultan
 
Pole zake aisee atapauka si mchezo
Jambo mpenzi wangu...! Uwe makini nawe usije niua nawe ukaozea jela, maana yale mahaba ya kunikaba koo siyo bhana.... nimeamua niseme jf wakisikia nimefia hotelini wajue ni wewe tuuh...
 
watoa hukumu wamemuonea huruma sana kwa kumchapa hata miaka miwili ashukur mungu kesho tu anarud kesi kitu kibaya sana kila kitu kinaharibika huwez hata kupanga mipango yoyote unahesabu tarehe tu za kwenda mahakamani.
Kabisa Mkuu sema akilimaliza hili arudi mtaani akiwa mtu mpya maana ndani kule atajifunza kuishi na watu wa low class
 
Ashukuru sana Mungu! Kuna mtu aliweka kesi ya hivyo humu nikaogopa. Mungu amemsaidia sana na bahati nzuri sentensing ni discretion ya judge unless....... wanasheria wanajua
Kabisa kaka kwahali ya hii kesi miaka 2 ashukuru Mungu sena atateseka sana kunaster mazingira ya Kule ndani
 
Back
Top Bottom